Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond hua hakosei
Kinachonisikitisha ni kwamba the next Diamonds girlfriend ni Rihanna ...I am feeling sad for Zari
Take my words
sio tandale ni k/koo alikohamia kibakuli
Hahahahahahhh Freeland,
Nadhani unaota ndoto mchana huku umelala kwenye maji ya baridi tena ya barafu..!!!
BACK TANGANYIKA
Nimefungua Grocery ya malimao hapa Sakina Arusha natafuta mawakala mikoani.
Hivi wadau mmeiona page ya davido ilivyovamiwa na wabongo leo baada ya kupost fans me imefikisha views milioni kwa siku kumi tu hahahahahaha nimewanyooshea mikono team wasafi hawafaiiiii davido ilibidi abadili akafuta tu hiyo siku kumi maana watu walikuwa wamekamia sio siku 10 ni 15 na kusema dangote kamnyoosha kwa siku 12 tu... daah kaka wa watu anashida
Diamond hua hakosei
Kinachonisikitisha ni kwamba the next Diamonds girlfriend ni Rihanna ...I am feeling sad for Zari
Take my words
Hii ni nafasi ya kipekee kwa diamond akiweza kumpata Neyo kwenye collabo ya show..basi watakwenda kwenye collabo binafsi na rasmi ataanza collabo na wasanii wakubwa marekani kupitia Neyo!
Hii ni njia pekee ya Diamond kuanza kuiteka U.S.A...
Unazungumzia USA River.au USA Marekani? Unaota wewe siyo bure.
Hatareee
Daah wabongo kama kawaida yao wamevamia page ya Neyo baada ya kupost july 18 atakua akipafomu kwenye MTVawards 2015,kila comment anatajwa diamond.ha ha ha Neyo atajuta.
Diamond hua hakosei
Kinachonisikitisha ni kwamba the next Diamonds girlfriend ni Rihanna ...I am feeling sad for Zari
Take my words
Haaaaaa anatumia account gani nikachunguliee..
Kuna muda nikisomaga comments za wa Tz nabakigi hoi
Unazungumzia USA River.au USA Marekani? Unaota wewe siyo bure.
kam hivi frienddddddddd