MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

Mkuu mambo yana kwenda kwa hatua hata Nigeria haikuwa rahisi..nakuhakikishia tuu kijana atatumia nafasi hii na hatokuangusha na utakuwa shuhuda hivi karibuni!

Yes hatua moja uanzisha nyingine, unajua watu wanadhani hata kufanya collabo na Davido ilikuwa rahisi! Hahaha si rahisi hata kidogo hasa kwa msanii asiyejulikana. Ila wamarekani jamani sina hamu nao, kuna segment moja hivi kwenye BET awards ile presenter anapita mtaani kuuliza maswali kuna watu walikuwa wanaulizwa unamfahamu pharrel Williams anakujibu hamjui wala hajawahi kumsikia mie Ngachoka kabisa.
 
Mkuu...Ni lugha ya kawaida...lakini inahitaji juhudi na kujituma kuifahamu na kuiweza hasa ukizingatia mazingira aliyotoka Almasi....Ni lazima tukubali kwamba kijana ana juhudi na mchapakazi......akinuwia kitu anakifanyia kazi na anakipata...ndio maana sina wasiwasi ataishika dunia....Matter of time.

Naishi kwa kujitegemea....sitegemei mtu yeyote...Ni Mungu tu...sasa mkuu wewe nyumba unayoishi umepewa na mwanamke...Tuzo mmepewa kwa msaada wa wanawake walioachika na Almasi.....Mmefukuzwa kwenye nyumba mkakimbilia hifadhi kwa mwanamke.....

Hamjitumi kwa bidii ndio maana mnabaki na porojo tu ilihali hali zenu za kimaisha ni za kimasikini wa kutupwa

I see wewe ni kiboko kuliko kiboko mwenyewe, yaani mimi ndio nimekuwa Ally Kiba? Kwahiyo wewe una ubia na mafanikio ya Diamond? Too low.
 
Huku wapi?kuwa realistic wewe, embu niambie african style ipi inayobamba huku, acha ushamba kila mahali wana tamaduni zao ndo maana ukiacha ujuaji mwingi ngoma za nje hata afrika hazibambi kama za ndani na maisha yao yote hawaezi kuteka soko la mziki wa huku afrika zaidi ya waafrika wenyewe, ndo maana diamond afrika anakubalika, na hata hao wanaomkubali nje ni waafrika 90%, take it from me afrika music for africans big tym, iwe diamond, davido, p-square na wengineo

Mi nadhani nakuelewa kidogo, ila nadhani si vibaya kuthubutu.
 
I see wewe ni kiboko kuliko kiboko mwenyewe, yaani mimi ndio nimekuwa Ally Kiba? Kwahiyo wewe una ubia na mafanikio ya Diamond? Too low.

Birds of same feathers flock together

Tell me your friend ,i will tell you who you are
 
Baada ya MTV kutangaza Neyo atakuwa jukwaani kwenye utoaji wa tuzo za MTV mashabiki wa Chibu walivamia page ya Neyo na kila mmoja aliomba kolabo na Chibu.

Guess what? Neyo alipotua tu Durban akamtafuta Chibu kwa nguvu zote ma walipoonana kila kitu kitajulikana soon.

Kumbuka P Square tayari wameisha fanya na wakali kadhaa USA, Davido kapiga juzi kati na Meek na Wizkid kapiga na Drake.

Sasa ni zamu ya Diamond kuvuka boda ya Afrika.
 
ImageUploadedByJamiiForums1437157188.244778.jpgImageUploadedByJamiiForums1437157219.113782.jpg
Check wabongo walivyo ivamia page ya Neyo

Unajua chibu anajua sana kucheza na akili za wapenzi ni followers wake
Na wanamsaidia sana kwa kiasi kikubwa
 
Habari njema wadau...

Upigaji kura tuzo za Nigerian Entertainment Awards umefunguliwa rasmi hii leo..

Diamond anawania kipingele cha best African artist (ambacho ni mahususi kwa wasanii nje ya nigeria) .. Hivo basi tupige kura huku ni rahisi kinoma, unapiga kura mara moja tu!! kipengele chake ni cha kwanza, una click kwenye tick na ikiwa ya kijani inamaana kura imepokelewa (hakikisha kutumia browser)

link hii
⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇

http://neaawards.com/index.php/voting-page/

⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆
 
Haya sasa! Ne-yo na Diamond washakutana huko... Na kama tunavyomjua Diamond ni mzee wa Fursa... tutegemee kitu kikubwa kuanzia sasa..

Natamani kila Mwanamuziki hapa Tz awe inspired na mafanikio ya Diamond tupate hata wasanii 20 watakaowakilisha Tz ili tuje tuidominate Africa kimuziki maana inawezekana, kama vile 2face na Psquare walivyotengeneza njia ya Muziki wa Nigeria kuiteka Africa basi hata Sisi tutafika huko na hii ni kama tu tutasupport wanamuziki wanaofanya Vizuri nyumbani.

ImageUploadedByJamiiForums1437165899.455120.jpg
 
kwakua chibu ni mzee wa fursa,nami natoa ruksa ili liweze kutokea bonge moja la pin..?!
 
Kweli ukiheshimu kazi yako na kujiamini utafika mbali...diamond ni funzo kwa wengi...
 

Attachments

  • 1437169106341.jpg
    1437169106341.jpg
    31.6 KB · Views: 2,120
nakumbusha tuu jamen kwamba ne-yo kwasasa hana impact kubwa America..dizain kama kazima iv ko tusitegemee mikikimikiki yenye uzito kwa collabo hii..otherwise tujiandae kuyapokea..?!
 
Ne-Yo anajua. Nimeona video clip moja wako studio na Celine Dione we acha tu, jamaa muziki ni kazi yake.
 
Back
Top Bottom