binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Mkuu mambo yana kwenda kwa hatua hata Nigeria haikuwa rahisi..nakuhakikishia tuu kijana atatumia nafasi hii na hatokuangusha na utakuwa shuhuda hivi karibuni!
Yes hatua moja uanzisha nyingine, unajua watu wanadhani hata kufanya collabo na Davido ilikuwa rahisi! Hahaha si rahisi hata kidogo hasa kwa msanii asiyejulikana. Ila wamarekani jamani sina hamu nao, kuna segment moja hivi kwenye BET awards ile presenter anapita mtaani kuuliza maswali kuna watu walikuwa wanaulizwa unamfahamu pharrel Williams anakujibu hamjui wala hajawahi kumsikia mie Ngachoka kabisa.


