MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

natamani diamond akarecord na neyo kwa DJ MUSTARD aisee
 
Diamond hua hakosei

Kinachonisikitisha ni kwamba the next Diamonds girlfriend ni Rihanna ...I am feeling sad for Zari

Take my words

Hahahahahahhh Freeland,

Nadhani unaota ndoto mchana huku umelala kwenye maji ya baridi tena ya barafu..!!!

BACK TANGANYIKA
 
Hivi wadau mmeiona page ya davido ilivyovamiwa na wabongo leo baada ya kupost fans me imefikisha views milioni kwa siku kumi tu hahahahahaha nimewanyooshea mikono team wasafi hawafaiiiii davido ilibidi abadili akafuta tu hiyo siku kumi maana watu walikuwa wamekamia sio siku 10 ni 15 na kusema dangote kamnyoosha kwa siku 12 tu... daah kaka wa watu anashida

TeamWasafi!!!
 
msisahau kupiga kura wapendwa pleaseee siku zimebaki chache sana!
 

Attachments

  • 1435264630286.jpg
    1435264630286.jpg
    47.9 KB · Views: 119
MTV mama Diamondplatnumz & vanessa

⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇


MAMA 2015
MAMA 2015
MAMA 2015
MAMA 2015


⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆
link hiyoooooooooooo... #wasaaaaaaafi

vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote
 
MTV mama Diamondplatnumz & vanessa

⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇


MAMA 2015
MAMA 2015
MAMA 2015
MAMA 2015


⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆
link hiyoooooooooooo... #wasaaaaaaafi

vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote
 
Diamond hua hakosei

Kinachonisikitisha ni kwamba the next Diamonds girlfriend ni Rihanna ...I am feeling sad for Zari

Take my words

kam hivi frienddddddddd
 

Attachments

  • 1435266654511.jpg
    1435266654511.jpg
    43.3 KB · Views: 194
Hii ni nafasi ya kipekee kwa diamond akiweza kumpata Neyo kwenye collabo ya show..basi watakwenda kwenye collabo binafsi na rasmi ataanza collabo na wasanii wakubwa marekani kupitia Neyo!
Hii ni njia pekee ya Diamond kuanza kuiteka U.S.A...

Unazungumzia USA River.au USA Marekani? Unaota wewe siyo bure.
 
Unazungumzia USA River.au USA Marekani? Unaota wewe siyo bure.

MTV mama
Diamondplatnumz (best male, live, collaboration) & vanessa (best female)

⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇


MAMA 2015
MAMA 2015
MAMA 2015
MAMA 2015


⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆
link hiyoooooooooooo... #wasaaaaaaafi

___________________________________
Hakikisha unapiga kwa kutumia browser, na lazima kusign in kwa Facebook, twitter, or email... Kila kipengele 20 votes kila siku, kwa waliojiunga na email, au twitter wanapiga bila kikomo...

vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote
 
Daah wabongo kama kawaida yao wamevamia page ya Neyo baada ya kupost july 18 atakua akipafomu kwenye MTVawards 2015,kila comment anatajwa diamond.ha ha ha Neyo atajuta.

Haaaaaa anatumia account gani nikachunguliee..
Kuna muda nikisomaga comments za wa Tz nabakigi hoi
 
Haaaaaqq Freeland umeona mbali kichizi

Na imagine Diamond & Rihann

Mkuu wewe subiria utaona

Yule Diamond ni mtu mwingine kabisa....Waulize kina kidoti......

Next stop ni Rihanna.Najua kwa hapa watu watakuwa wanadhani ni ndoto......but ndivyo itakavyokuwa
 
Back
Top Bottom