youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 443
so can you tell,impact ya msanii kw309ye collabo inapimwa na ni09i..Hahah kwani kuchukua tuzo ya grammy ndo kuwa na impact... Kwa muda wako kaangalie chriss brown amewahi kuchukua grammy lini halafu jiulize ana impact au hana
ukizungumzia Grammy bila kujua mostly kura in za majaji na sio za funs,u09¨¤kua shameless.,Neyo hana impact US? hivi unajua amechukua tuzo ya Grammy lini?
Neyo mbona amechoka mwenyewe? Collabo ya ukweli afanye na Usher
Jamani hebu tusibishane kwa vitu vyenye faida kwa music industry yetu. Anaejua muda wa show za MTV kwa masaa ya EA anisaidie
Unaposema hana impact amerika unamaanisha nini... Hebu pitia chati za billboard mwaka jana na mwaka huu ndo uje uongee utumbo kama huu tena
so can you tell,impact ya msanii kw309ye collabo inapimwa na ni09i..
Mwenye link ya kustream lie mtv aweke hapa
Mention any big celeb in US that doesn't make it in SA??
You are clueless definitely ... even The Great Michael Jackson had been in S.A... Chriss brown was in S.A this year so who else is greater...
but u have to know that it is Nigeria not S.A
Sio tu kuimba Ne-yo anajua sana Kuandika... Kaandika ngoma nyingi sana zilizofanya na zinazofanya vizuri
Do y'all understand the meaning of FUNKY DUCKING??? Mana hamna sioni alieelewa hata mmoja, si vibaya kuuliza, the black and blue thing he is riding miguuni kwake badala ya kutembea? thats funky ducking boys! Now next time muulize kama hamuelewi lugha. 
a min msanii mwenye impact kubwa kwenye collabo anapimwaje..mana kunawaliosema kupitia tuzo za Grammy alochukua msanii we ukaoppose..xo can you tellUnaandika ma nn maana sielewi
Wewe acha kufanya watu wajinga hapa.. Ulichokuwa unamaanisha ni tofauti na unachokisema hapa.. Kulitafsiri neno moja la kiingereza kwenye sentensi moja haiwezi kuleta maana bila kuitafsiri maana ya sentensi nzima..
BTW hiyo funky ducking umeiona wapi, maana sie tunaona picha tu hapa na hakuna video..
lol, umeamua kuwa mpumbavu wa kiwango cha juu, alieandika sentensi ni mimi na alietoa ufafanuzi wa sentensi yangu ni mimi mwenyewe, kama unajua zaidi ya mimi muandikaji sawa sina time ya kukubishia just turn To the left ...endelea na shughuli zako...
btw, hata picha huoni ameweka nini mbele ya miguu yake?? Fool! Such a douchebag ppffhhh!!!
nakumbusha tuu jamen kwamba ne-yo kwasasa hana impact kubwa America..dizain kama kazima iv ko tusitegemee mikikimikiki yenye uzito kwa collabo hii..otherwise tujiandae kuyapokea..?!
Neyo mbona amechoka mwenyewe? Collabo ya ukweli afanye na Usher
Kwahiyo kuwa mbele yake ndio inamaanisha alitembea nacho??
Wewe utakuwa mjinga namba moja duniani.. sasa tafuta tu video uone hicho unachosema kiko mbele yake alitembea nacho nani..
Kwahiyo kuwa mbele yake ndio inamaanisha alitembea nacho??
Wewe utakuwa mjinga namba moja duniani.. sasa tafuta tu video uone hicho unachosema kiko mbele yake alitembea nacho nani..