wazungu gani mbona hawasemi ukweli kuhusu historia ya afrikaKinachokera ni watu kupinga facts Kwa sababu haiwapendezi..
Wenzetu wazungu hata kama ukweli hauwapendezi huwezi ona wanapinga waziwazi kama Sisi huku
George W Bush aliulizwa familia yenu ilikuwa inamiliki watumwa zamani..
Hakukataa hiyo history kabisa...
Sisi mtu anaona kabisa wajukuu wa Mkwawa wanaitwa Ashura na Haji na bado anapinga ukweli anauona Kwa macho