Postamu lazima iwe chunguTunahitaji postamu..... .tambara la deki aliwezi kunyonga mtu....tuanzie hapo
Kina zombe ilikuwa awamu ya ngapi vile?Mambo ya kuuana na kutekana Tanzania yaliasisiwa awamu ya Tano chini ya Mwendazake...hizi ndizo gharama zake.
Mke anaua mume
Mume anaua mke
Mume anakodi mtu kuua mpz wake
Mtoto anaua baba kisa urithi
House girl anaua mtoto wa bosi
Kijana anaua girl friend wake
mchumba wa kike anamuua jamaa kisa kaachwa
Askari anaua raia
Raia anaua askari
Yaani sasa hivi ni mwendo wa kuliana timing tu...ukibugi tu umeingia cha kile dadadeq
Ni balaa tupu.
Ukisikia umafia ndo huu. Unakata mnyororo wa ushahidi kuhakikisha hakuna taarifa zitakazo kuhususha na hicho unachotuhumiwa. Lakini ya Mungu mengi, mahabusu kujinyongea chumba cha mahabusu!Wameamua kumuondoa ili kupoteza ushahidi wakubwa wao wasitajwe
Mbona wewe hujamuua mkeo au raia mwingine?Mambo ya kuuana na kutekana Tanzania yaliasisiwa awamu ya Tano chini ya Mwendazake...hizi ndizo gharama zake.
Mke anaua mume
Mume anaua mke
Mume anakodi mtu kuua mpz wake
Mtoto anaua baba kisa urithi
Ndugu wanamuua bibi yao kizee kisa macho mekundu - mchawi
House girl anaua mtoto wa bosi
Kijana anaua girl friend wake
mchumba wa kike anamuua jamaa kisa kaachwa
Askari anaua raia
Askari anamuua askari mwenzake
Raia anaua askari
Raia anamuua raia mwenzake
Yaani sasa hivi ni mwendo wa kuliana timing tu...ukibugi tu umeingia cha kile dadadeq
Ni balaa tupu.
Kauli nilizosikia kutoka kwa mzee wakeInasikitisha sana nimemsikia mzee wake Leo anaomba uchunguzi ufanyike maana haelew tu kama mwanawe kajinyonga
Hilo dekio aliwekewa mahabusu ili awe anadeki?Mahabusu wa Mauaji huwezi waweka wote sehemu moja, watapangana namna gani ya kujitetea. Hao askari waliwekwa mahabusu tofauti, Mkuu wa Kituo akiwekwa LILUNGU, Aliyejiua akiwekwa Kituoni hapo polisi, OC CID alipelekwa Nachingwea nk nk. Ila kupata picha halisi ya kesi kama hizo watuhumiwa wanatenganishwa kwa umbali mkubwa tu na hakuna uwezekano wa wao kukutana mpaka mahakani. Ni possible kujiua. Kama ameawa basi kwa namna yoyote OCD, RPC na RCO watahusika tu.
Kwa hiyo walikuwa jumla ya polisi nane(8) marehemu inclusive !!Askari mmoja Kati waliokuwa wakituhumiwa kufanya mauaji ya mfanyabiashara kijana alijinyonga
====
Askari huyo alijinyonga Januari 22 mwaka huu 2022 kwa kutumia tambala la kudekia akiwa mahabusu ya kituo cha polisi wilaya ya Mtwara.
Katika taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Mtwara ACP Mark Njera, alikiri kuwa askari wake saba wanaotuhumiwa kutekeleza mauaji ya kijana Mussa Hamisi (25), mkazi wa kijiji cha Ruponda wilaya ya Nachingwea mkoani humo aliyekuwa akiwadai askari hao zaidi ya shilingi milioni 33.7 wameshafikishwa mahakamani
Imeelezwa kuwa tukio la mauaji ya kijana huyo walilitekeleza Januari 5, 2022 na mwili wa marehemu waliutupa katika kitongoji cha Majengo, kijiji cha Hiari wilayani Mtwara.
Waliofikishwa Mahakamani Januari 25, 2022 ni:
1. Mrakibu wa Polisi Gilbert Kalanje -Mkuu wa Upelelezi wa wilaya ya Mtwara,
2. Mrakibu Msaidizi wa Polisi Charles Onyango - Mkuu wa Kituo cha Polisi Mtwara,
3. Mrakibu wa Polisi Msaidizi Nicholaus Kisinza - Mkuu wa Kikosi cha Intelejensia ya Jinai mkoa wa Mtwara,
4. Mkaguzi wa Polisi John Msuya Mganga - Mkuu wa Zahanati ya Polisi Mtwara,
5. Mkaguzi wa Polisi Msaidizi Marco Mbuta,
6. Mkaguzi wa Polisi Shirazi Mkupa na
7. Koplo Salimu Juma Mbalu.
Kuhusu mauaji ya mfanyabiashara, soma Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7 (Januari 25, 2022)
View attachment 2095972
Kuconnect dot, aka afande swilaWakifatilia mawasiliano yao ushahidi utapatikana tu hata kwa kuconnect
Kweli mkuu sbb hapo china sana wamegawana milion nane nane ambayo majeshi siku hizi mkopo nje nje.Tamaa imewaponza mbona hata wakikopa bank kwa mishahara yao wanapata zaidi ya hizo