Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Ninataka kumuona yule dubu asiyejulikana aliyemtolea Nape bastola yu wapi hapa wadau?Wamesomewa mashitaka yao leo Kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara , ambapo kesi hiyo imeahirishwa hadi 22/02/2022
View attachment 2112357
Je ni kweli kwamba kuna uchawi?[emoji26][emoji26][emoji26]Wamesomewa mashitaka yao leo Kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara , ambapo kesi hiyo imeahirishwa hadi 22/02/2022
Shukrani mkuu! tunawaorodhesha ili hata tukishindwa wattoto wetu hata wajukuu waadhibu hao mbwehaHiyo wa kulia ndiye alimtishia Nape kwa bastola!?!
Mi nadhani baada ya kamati ya uchunguzi kurudisha majibu hawa jamaa bila kupelekwa mahakani kama utathibitika kweli waliua mi naona wapelekwe jangwani piga shaba wote au kitanzi cha wazi mbele ya hadhada hii italeta adabu.Wamesomewa mashitaka yao leo Kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara , ambapo kesi hiyo imeahirishwa hadi 22/02/2022
View attachment 2112357
Mstari Wa kwanza kulia aliyeegemea ukutaNinataka kumuona yule dubu asiyejulikana aliyemtolea Nape bastola yu wapi hapa wadau?
Nina kazi ya kuwaoredhesha= Jumanne, Gudluck, Swila----
Huyu hapa 👇Ninataka kumuona yule dubu asiyejulikana aliyemtolea Nape bastola yu wapi hapa wadau?
Nina kazi ya kuwaoredhesha= Jumanne, Gudluck, Swila----
Mnaamua kijana mpambanaji kisa hela inasikitisha sana tunaamina mahakama itatenda haki kwa mfanyabiashara na kutoa hukumu kwa wahusikaMaofisa 7 wa Jeshi la Polisi mkoani Mtwara wanaotuhumiwa kufanya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Musa Hamis (25), wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara kwa ajili ya kesi yao kutajwa.
Waliofikishwa Mahakamani ni:
1. Mrakibu wa Polisi Gilbert Kalanje -Mkuu wa Upelelezi wa wilaya ya Mtwara,
2. Mrakibu Msaidizi wa Polisi Charles Onyango - Mkuu wa Kituo cha Polisi Mtwara,
3. Mrakibu wa Polisi Msaidizi Nicholaus Kisinza - Mkuu wa Kikosi cha Intelejensia ya Jinai mkoa wa Mtwara,
4. Mkaguzi wa Polisi John Msuya Mganga - Mkuu wa Zahanati ya Polisi Mtwara,
5. Mkaguzi wa Polisi Msaidizi Marco Mbuta,
6. Mkaguzi wa Polisi Shirazi Mkupa na
7. Koplo Salimu Juma Mbalu.
Hata hivyo wanahabari wamezuiwa kuingia katika chumba cha Mahakama
Kesi hiyo imeahirishwa hadi 22/02/2022
Pia soma
- Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7
Mtwara: Askari Polisi mmoja kati watuhumiwa wa mauaji ya mfanyabiashara alikutwa mahabusu akiwa amejinyonga tarehe 22 Jan 2022
- SIMULIZI: Mauaji ya Mfanyabiashara Musa Hamis Mtwara, Machozi na Damu
Noma sana !Tabu kwelikweli mil 37 ukizigawa kwa watu 7 ni kama mil 5 kwa mtu mmoja..
Sasa kwa mil 5 meua watu wawili?
Yule hayupo hapo..ule ni uongoNinataka kumuona yule dubu asiyejulikana aliyemtolea Nape bastola yu wapi hapa wadau?
Nina kazi ya kuwaoredhesha= Jumanne, Gudluck, Swila----