Mtwara: Askari saba wanaotuhumiwa kumuua mfanyabiashara na kupora fedha wafikishwa Mahakamani

Njaa ya polisi inaondoa uhai wa kijana wa watu. Hivi hizo mil 33 wakishagawana zinamaliza dhiki zao maisha? Hawa ndio wale failures aliosema Simbachawene wanafaa kushika bunduki eti kulinda benki😭😭😭. Uwezo mdogo wa kupambanua mambo kiasi hiki ni dhihaka kwa walipa kodi.
 
Majambazi wakubwa hawa chini ya kinara wao Sirro
 
huyu wa kwanza upande kulia ndiye alimnyooshea bastola NAPE! sasa wananyea debe maisha
 
Police wabongo sijui ni njaa,sijui kutokutosheka na hela wanayopata.

Paka wanaua,wako zaidi ya watano,hela yenyewe mbuzi tu,paka wanatoa uhai.

Hili ni tukio tulilosikia tu,vipi kuhusu ambayo hatujayasikia.

Na bado wamepeleka muswada wa kutokushtakiwa,aisee raia hatuko salama kabisa .
 

Majitu makubwa ya hovyo
 
Alafu huyo zero anafanya nn mbona sisikii akijiuzulu, akikamatwa maana huyu ni failure!!?
Wala hasomi alama za nyakati, Siro ataondoka kwa aibu kama walivyoondoka Magufuli, Ndugai, Sabaya, Paul Makonda na washenzi wenginewe wote wa Utawala wa Fashisti Magufuli
 
Hivi yule Askari aliyekufa siku moja na dogo mfanyabiashara alikataa kushiriki tukio au?
 


Geshi Ya Police Kama Geshi

Hatari Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…