Mtwara: Askari saba wanaotuhumiwa kumuua mfanyabiashara na kupora fedha wafikishwa Mahakamani

Gazeti la Mwananchi walidanganya,kati ya hao Askari hakuna aliyemtishia Bastola Nape,huyo wa kwanza kulia anaitwa Gilbert Kalanje(ndie aliyekuwa Kaimu Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa),sio aliyemtishia Nape Bastola,ni uzushi wa Gazeti la Mwananchi tu
 
Shetani hana Rafiki yamezoa kuua yakidhani CCM ingeyalinda tu,wanyongwe kabisa hao funza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…