Mtwara: Bodaboda waliopotea wakutwa wamekufa porini, Polisi waokota viungo vya binadamu

Polisi wamesahau majukumu Yao wamejivika majukumu mengine yanayowanufaisha wao tu
Kitendo cha polisi kukataa kutoa msaada kwa hawa ndugu waliopotelewa na mpendwa wao inaonyesha, polisi wamesahau wajibu wao Kabisa, Kukamata magari ndio kipaumbele chao
 
uy wa bodabda itakuwa aliuliw n wezi w pik pik kw jinsi inavy onekan..
 
Sirro anasema nchi ni shwaari
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…