Mtwara: Maafisa 7 wa Polisi wafikishwa Mahakamani, shtaka laahirishwa hadi Juni 16, 2022

Mtwara: Maafisa 7 wa Polisi wafikishwa Mahakamani, shtaka laahirishwa hadi Juni 16, 2022

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mtwara (1).jpg

Mtwara (2).jpg
Shtaka la Maafisa saba wa Jeshi la Polisi wanaotuhumiwa kumuua mfanyabiasha wa madini, Musa Hamisi, aliyekuwa mkazi wa Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi limesomwa leo Juni 16, 2022 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara.

Watuhumiwa wote walifikishwa Mahakamani hapo ambapo shtaka lao limepangiwa kusikilizwa Juni 16, 2022.

Watuhumiwa wote wamerudishwa rumande baada ya Mwendesha Mashtaka wa Jamhuri, Severine Mganga kuieleza Mahakama kwamba upelelezi wa shtaka hilo bado haujakamilika.

Picha: Azam TV
 
Kiini macho tu wanatakiwa wayanyonge kabisa haya mahayawani walikua wanashirikiana na lile jendawazimu fulani kuua watu na kuwaweka kwenye viroba na kuwatupa baharini na mtoni , hakuna nia ya dhati ya kumaliza huu upuuzi ripoti imemfikia mama yao lakini hakuna alichoelekeza , ngonjera tu , kila mtu anaogopa.SHAME
 
Back
Top Bottom