Mtwara: Mapambano ya Polisi na Jambazi mwenye silaha; Raia ameuwawa, askari amepigwa risasi


unawachokoza heee
 
Uaskari mgumu jamani. Usiku, mstuni, giza nene halafu mvua inanyesha jambazi linazidi kutokomea na kumwaga risasi kama kokoto!
 

mkuu acha tu! Ndio maana baba yangu alinambia ukiwa askar ujue ww ni maiti inayotembea mda wowote unakufa.
 
Sasa wa2 tukale wap na nyie mmebana,nchi hyo kulpuana tu,haina demokras wala uungwana,hyo n hal ya kawaida 2,vip huku tulko South Africa wa2 wanakaba na bunduk na furesh no ajabu
 

Ukitud rud na picha!
 


Kaka ni kweli afu angalia hata mshahara mbovu ,mazingira ya kazi pia magumu .....daaa poleni wafia.RIP brother
 
Duuh kwa hiyo uneona kabisa kapigwa risasi kwenye ----..?
 
Halafu mshahara "take on hand, finish on mouth"

Yaani mpaka wakabe saana ndio wajenge na wafanye luxuries.

Then nobody cares about their welfares, vifaa, mazingira magumu ya kufanyia kazi.

Poleni sana askari na familia wahanga.
 

Usife moyo kamanda kwa BAVICHA watakatifu dunia nzima ni wa 3 tu nao ni BABU (mzee wa gongo)
MBOWE (Mzee wakuteka nyara)
TUNDU (Mzee wa Mahakama)
 
Jambazi mmoja kapambana na kuua Askali wenye mafunzo na Silaha pamoja na Raia mmoja...? Mbaya zaidi amefanikiwa kutoroka na kuasi cha pesa alichoiba...!
Ni kweli alikuwa jambazi mmoja tu, na uwezo wake inaonekana ni wa hali ya juu katika mapambano ya Silaha why target yake iwe kwa Dereva, Askari na Mkuu wao wa Upelelezi Wilaya? All in all Bwana ametoa Bwana ametwaa mapenzi yake yatimizwe.
 
mkuu acha tu! Ndio maana baba yangu alinambia ukiwa askar ujue ww ni maiti inayotembea mda wowote unakufa.

nadhan umekosea. unaweza kukutwa na umauti popote, haoijalishi unafanya Kaz gan, muda wala SAA, upo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…