Mkuu sijui kama utakumbuka tukio la ujambazi wa hela za nmb 2006 mataa ya Ubungo. Majambazi watatu kama sikosei walikuwa wanajeshi. Silaha kubwa za kivita na risasi zilivaliwa kama mkanda. Ukikutana na jambazi kama huyo hata muwe askari kumi ataweza kuwamaliza.
Yule traffic aliyejitahidi kupambana nao alupandishwa cheo na akapewa ofa ya kusoma ili apande zaidi. Nikikumbuka mkasa huu najiona wa kumshkuru sana Mungu maana wanafamilia yangu walikumbana nao.