Mtwara: Mjomba wa mfanyabiashara aliyeuawa adai alitishiwa kupewa kesi ya ugaidi endapo ataendelea kufuatilia suala la mpwa wake

Huyo anayedaiwa kujinyonga huenda ameuawa ili baadaye aangushiwe zigo ili wahalifu wengine wapone
 
Nilitoa Rai kwamba Mheshimiwa Rais anakosea Sana anapotembea na watu wa kurithi ambao wamejaa hujuma ndani yake. Sijui ni Kwa nini hajaamua kuingia kwenye hizi taasisi. Nimesikitika mno.
 
Kitengo cha Tanpol kwa hizi dhuluma ndo maana hamza aliona poa isiwe taabu amalizane nao kabisa mchana kweupe mbele ya macho ya watanzania

Nasema mchunguzeni aliye Jenga kaburi kabla ya kusitafu ana mengi
 
Nilitoa Rai kwamba Mheshimiwa Rais anakosea Sana anapotembea na watu wa kurithi ambao wamejaa hujuma ndani yake. Sijui ni Kwa nini hajaamua kuingia kwenye hizi taasisi. Nimesikitika mno.
mkuu Kwamba wewe ndo mwenye maono kuliko taasisi ya urais? Acha porojo zako,au hujui kuwa urais ni taasisi,na huyu unayemlaumu ni msimamizi tu wa hiyo taasisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…