Mtwara: Mjomba wa mfanyabiashara aliyeuawa adai alitishiwa kupewa kesi ya ugaidi endapo ataendelea kufuatilia suala la mpwa wake

Huyo IGP Afukuzwe kazi mauaji yanatokea kila siku Polisi wenzake wanaua watu wanabambika watu kesi yaani anaongoza majambazi yanayolipwa mshahara na serikali

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Nina uzoefu na Hawa majambazi wenye uniform za polisi; kama una pesa zaidi ya milioni moja tu ya Tanzania bora ukutane na majambazi kuliko polisi wa Tanzania....
Sure
 
Huyo greyson ndio kajinyonga kwa dekio au [emoji1787]

Wala wamemueliminate wenyewe tu
Hivi mtu ukitoka mahakamani kusomewa shtaka kama hujazaminiwa si unapelekwa mahabusu gerezani?
Iwaje huyo apelekwe kituo cha polisi
 
Wala wamemueliminate wenyewe tu
Hivi mtu ukitoka mahakamani kusomewa shtaka kama hujazaminiwa si unapelekwa mahabusu gerezani?
Iwaje huyo apelekwe kituo cha polisi
Kwani walitoka mahakamani
 
Ah jaman hayo mambo si niliambiwa yalishaondoka na bwana yule
 
Inasikitisha mno aisee
 
Nilitoa Rai kwamba Mheshimiwa Rais anakosea Sana anapotembea na watu wa kurithi ambao wamejaa hujuma ndani yake. Sijui ni Kwa nini hajaamua kuingia kwenye hizi taasisi. Nimesikitika mno.
Bado unaamini tuna Rais? Huyo na Jiwe wote makatili kumbuka enzi za Jiwe watu waliuliwa na hakuwahi kufungua mdomo wake kusema chochote..ni sawa na Hangaya matukio makubwa yametokea yupo tu.
 
Hawa manyang'au sijawahi kuwaelewa kabisa.
Rais wetu SSH shughulikia jeshi hili lisilo na nidhamu
linakufitinisha na wananchi wako.
 
Damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika udongo.” (Mwanzo 4:10)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…