DuuhHakunaga
Daah Huko mkanaledi ni mbali sana isee kwa ninapofanyia shughuli yanguNenda shangani mkuu japokua vyumba n bei kubwa kidogo lakin n vzur na coco beach na kuna mtaa unaitwa kilimanjaro ukipita stand ya mkanaledi
Kwani wewe shughuli zako unafanyia wapi nije nikupitie nikuoneshe mitaa ya kishuaDaah Huko mkanaledi ni mbali sana isee kwa ninapofanyia shughuli yangu
Maeneo karibu na stand ya zamaniKwani wewe shughuli zako unafanyia wapi nije nikupitie nikuoneshe mitaa ya kishua
ngekua lindi si unge zimiaKwa waliowahi kuishi au wenyeji wa Mtwara ni maeneno gani ambayo ukienda unaona kweli hapa ni ushuani kuna mijengo mikali mikali au sehemu ambazo kuna vyumba vizuri vya kupanga?
Maana daah kuna mitaa nimepita kutafuta vyumba mpaka nimevunjika moyo kuhusu kuishi huu mkoa, vyumba havina mvuto,halafu bei yake ni kubwa mpaka nimechoka.
Beach roadKwa waliowahi kuishi au wenyeji wa Mtwara ni maeneno gani ambayo ukienda unaona kweli hapa ni ushuani kuna mijengo mikali mikali au sehemu ambazo kuna vyumba vizuri vya kupanga?
Maana daah kuna mitaa nimepita kutafuta vyumba mpaka nimevunjika moyo kuhusu kuishi huu mkoa, vyumba havina mvuto,halafu bei yake ni kubwa mpaka nimechoka.
Mtwara ukiwaa mgeni na ukatafuta nyumba lzma uchanganyikiwweeI
ngekua lindi si unge zimia