MTWARA:Mtaa gani una nyumba nzuri?

MTWARA:Mtaa gani una nyumba nzuri?

Bintyjp

Member
Joined
Jul 21, 2024
Posts
25
Reaction score
50
Kwa waliowahi kuishi au wenyeji wa Mtwara ni maeneno gani ambayo ukienda unaona kweli hapa ni ushuani kuna mijengo mikali mikali au sehemu ambazo kuna vyumba vizuri vya kupanga?

Maana daah kuna mitaa nimepita kutafuta vyumba mpaka nimevunjika moyo kuhusu kuishi huu mkoa, vyumba havina mvuto,halafu bei yake ni kubwa mpaka nimechoka.
 
Nenda shangani mkuu japokua vyumba n bei kubwa kidogo lakin n vzur na coco beach na kuna mtaa unaitwa kilimanjaro ukipita stand ya mkanaledi
Daah Huko mkanaledi ni mbali sana isee kwa ninapofanyia shughuli yangu
 
hamna chochote we tafuta kageto tu hapo bima au mitaa ya stela maris japo japo..huko kilimanjaro kwel nyumba mpya ila usafir shida kwanza mbal na kaz yako. usilogwe ukaenda kukaa chikongola
 
I
Kwa waliowahi kuishi au wenyeji wa Mtwara ni maeneno gani ambayo ukienda unaona kweli hapa ni ushuani kuna mijengo mikali mikali au sehemu ambazo kuna vyumba vizuri vya kupanga?

Maana daah kuna mitaa nimepita kutafuta vyumba mpaka nimevunjika moyo kuhusu kuishi huu mkoa, vyumba havina mvuto,halafu bei yake ni kubwa mpaka nimechoka.
ngekua lindi si unge zimia
 
Beach road
 
Back
Top Bottom