Mtwara: Vijiji 60 wilayani Masasi havina maji safi

Mtwara: Vijiji 60 wilayani Masasi havina maji safi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Vijiji hivyo havina huduma ya maji safi na salama, tangu kuanzishwa kwa Wakala wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA).

Wakazi wa eneo hilo wameshauri viongozi wa RUWASA kuacha kuchanganya siasa na maji.

Diwani wa Kata ya Nang’ang’a, Hams Twalibu amedai Wananchi wamekuwa wakidai kutaka kutumia maji bila malipo na inapotokea kuna uharibifu wamekuwa wakiwageuka viongozi na kuwaambia hawatimizi majukumu yao.

Naye, Meneja wa RUWASA Wilaya ya Masasi, Mhandisi Juma Yahya amesema “Tumeanza mikakati ya utafiti wa maji ya ardhini ili kupata vyanzo vya maji katika vijiji ambavyo havina maji, tukishapata maji tutachimba visima baada ya hapo hatua ya pili itafuata ya ujenzi wa miundombinu.


Chanzo: EATV
 
Back
Top Bottom