Mtwara: Watu watatu wamefariki baada ya kushambuliwa na nyati wakiwa shambani

Mtwara: Watu watatu wamefariki baada ya kushambuliwa na nyati wakiwa shambani

Watu watatu Kwa mpigo?hata Simba sijawahi kusikia akiua zaidi ya mtu mmoja Kwa mpigo
 
Baada ya nyati kufa ilifuata nyama choma ya nyati na bia nyingi pale jeshini
 
Itakuwa wawindaji haramu tu. Kwani kuwa shambani huwezi kuwinda.
 
Ila huku kutafuta wenyewe walikuwa wanalima hawana Habari Jamaa kawadedisha au walimchokoza maana nakumbuka kipindi flani nafanya biashara ya ng'ombe kuna sehemu ili ufike lazima upite Hifadhi ya tembo tushawahi waona mara mbili barabarani hata hawana shida Ila huwa na shangaa kusikia tembo kaua Mtu au ndo upepo tunawakuta wamepoa
 
Nina jamaa yangu askari wanyama pori aliniambia katika mizunguko yao hawaogopi simba chui nk bali Nyati tu
 
Huwa inakuwaje mwanabodi tusimulie si wa tukuyu huku hatuna hata sungura hatujui wanyama kabisa
Hahaha ni kweli mkuu ila dunia ya sasa imejianika mkuu usipoona live utaona kwa teknolojia au kwa simulizi muda wowote uutakayo tena ukiwa deep kuliko hata mtu wa mikumi!
 
Back
Top Bottom