Muache kuitana wake zenu blood pressure hatakama n utani

Muache kuitana wake zenu blood pressure hatakama n utani

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Pitapita hapa
Nimekutana na jamaa zangu karume kijiwen

Nafika naonaa wanaambiana hahaa wewee leoo umekuja blood pressure wakoo kakuruhusu leo

MMmhnkawaza nani...

Mwingine akajibu hahaa blood pressure wangu hana shida anatumia 3g yaan yeye urudi usirudi kabisa nyumban hata hasumbuki na wewe

Nkaona mwanga kidogo

Tukaendelea na story gafla akatokea mdada mmoja mnenen mashallah jamaa mmoja anamwambia bloodpressure wakoo yule amekuja kukufwata. aisee

mmoja akasema hii tandamuu 5g kakaa kazi unayoo nkawa kimya

kiufupi n ktk kutaniana naamini ila hili jina usiite mkeoo nakushaurii...utakuja kujuta sikumoja.....

nenoo huumba kuna siku atakuwa blood pressure kweli utalia na kusaga
 
Back
Top Bottom