Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Utamu wa nyama ya nguruwe usikie tu ila ndio nyama ukifuga ukosi soko.
Nyama ya nguruwe huko kwa Putin inapendwa sana na China ukilinganisha na nyama zengine.
Sehemu zisizo na ufagaji wa ng'ombe ndio wafugaji wakubwa wa nguruwe.
Tunaomba muheshimu my wetu