Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Udi hata kanisani wanatumia kile kidude cha kufukizia.Sio kweli wewe umeamini vipi kama mapepo yalitolewa kupitia nguruwe.
Kitu chochote kitakachotumika kufanyia.basi achana kutumia udi maana unavuta mapepo aka majini
Yesu aliyatoa na kuyapeleka kwa nguruwe ...ukichunguza hata waganga wanayatoa sehemu kama baharini au maziwa ,mda mwingine msituni kabisa