Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Unakula kuku?Wanaokula hiyo wengi wachafu haswa bongo
Acha kufananisha kuku na upumbavuUnakula kuku?
uchafu upi, Mr Msafi!!!Wanaokula hiyo wengi wachafu haswa bongo
Upate na bia ya baridi sana.Utamu wake ni kama unafika kileleni
Umenijaz mate mkuuUpate na bia ya baridi sana.View attachment 2526036
Kinapendeza siku ya jumapili mida ya saa 8 hivi sehemu tulivu kabisa ,umetulia kuwaza kesho yakeKitimoto choma na ndizi mzuzu hehehhehe
Manguruwe ni mapepouchafu upi, Mr Msafi!!!
Wachafu vipi ndio wanakutibia na kukutengenezea teknolojia unazotumia leoWanaokula hiyo wengi wachafu haswa bongo
mbona matamu sasa jamani haya mapepo?Manguruwe ni mapepo
Kwani tatizo kutibiwa kwani hata dawa za asili watu si wanatibiwa...Kwank huwezi kukosa kisa wanakutibia uchafu utabaki uchafu hata afanye nanWachafu vipi ndio wanakutibia na kukutengenezea teknolojia unazotumia leo
Hapo wapi?Upate na bia ya baridi sana.View attachment 2526036
Ila mfupa wao unafukuza majini na wachawiManguruwe ni mapepo
Sio kweli yesu asingeamrisha mapepo yaingie kwa nguruweIla mfupa wao unafukuza majini na wachawi
Sio kweli wewe umeamini vipi kama mapepo yalitolewa kupitia nguruwe.Sio kweli yesu asingeamrisha mapepo yaingie kwa nguruwe