Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Udi hata kanisani wanatumia kile kidude cha kufukizia.Sio kweli wewe umeamini vipi kama mapepo yalitolewa kupitia nguruwe.
Kitu chochote kitakachotumika kufanyia.basi achana kutumia udi maana unavuta mapepo aka majini
Kuna mada hapa nikieleza uislamu ulipotokea ni jangwani kule nguruwe hakufugika bali ngamia.sasa unanilazimisha kula ngamia wakati mimi naona nguruwe.Udi hata kanisani wanatumia kile kidude cha kufukizia.
Yesu aliyatoa na kuyapeleka kwa nguruwe ...ukichunguza hata waganga wanayatoa sehemu kama baharini au maziwa ,mda mwingine msituni kabisa
Leo jumatano ya majivu wapendwa tuheshimu basi, (funga siku ya jumatano ya majivu) kwaresima njema!Utamu wa nyama ya nguruwe usikie tu ila ndio nyama ukifuga ukosi soko.
Nyama ya nguruwe huko kwa Putin inapendwa sana na China ukilinganisha na nyama zengine...
Kuku ni mchafu kuliko nguruwe,Acha kufananisha kuku na upumbavu
Nguruwe mchafu anableed kama binadamuKuku ni mchafu kuliko nguruwe,
🤣🤣🤣 unanifurahisha unavyo bisha wakati kaka wa shetan kashasemaSio kweli yesu asingeamrisha mapepo yaingie kwa nguruwe
Sawa ila unakosa mengiNguruwe mchafu anableed kama binadamu
Unajua aliyekutengenezea simu yako ya Infinix x657 mlaji mzuri wa nguruweKwani Nguruwe kahalalishwa na Ukristo kuliwa?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndio na wewe ukaamua kula.Unajua aliyekutengenezea simu yako ya Infinix x657 mlaji mzuri wa nguruwe
Muache kuisimanga nyama yetu pendwa
Kama yanakaa katika nguruwe kwa nini waganga wasiwe wanapata kutoka kwa nguruwe ?Udi hata kanisani wanatumia kile kidude cha kufukizia.
Yesu aliyatoa na kuyapeleka kwa nguruwe ...ukichunguza hata waganga wanayatoa sehemu kama baharini au maziwa ,mda mwingine msituni kabisa
Mbona yesu alitupia nguruwe mapepo?Kama yanakaa katika nguruwe kwa nini waganga wasiwe wanapata kutoka kwa nguruwe ?
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Kwani alitupa kwa nguruwe wote?Mbona yesu alitupia nguruwe mapepo?
🤣🤣🤣Hata kama mmoja hata ndo hao hao