Na laana ya kumtesa mteule asiye na hatia imeanza kuwatafuna! Wameqnza kuumbuana! Wasipojirudi na kumuachia bila masharti yoyote wataumbuka mnoSasa inatosha muachie Lisu..................Muachieni Lisu
Na marisasi yoooooooooooooooooooooooooooooote mwilini......hamuoni huruma!
Mbona Mtume (SAW) an advocate huruma kwa wenzenu?
Una uhakika hawamo!?Waliombambikizia kesi wapo humu jf au umeamua kumpigia mbuzi gitaa ?
Unategemea Rostam Azz awe Jf ?Una uhakika hawamo!?
Kila mmoja atoe hisia na dukuduku lake ili baadaye tunywe mbege tukiwa hatuna husda.Waliniambie niku-ignore una kila tabia za ukibaka.
Kwanini asiwepo!?Unategemea Rostam Azz awe Jf ?
Wanakesha humuhumu kudukua watuWaliombambikizia kesi wapo humu jf au umeamua kumpigia mbuzi gitaa ?
Humu wapo vidagaaKwanini asiwepo!?
Sihisi bali nafahamu😆😆 kwamba unahisi hawapo ?
Umefahamu vipi kwamba hayupo humu?Sihisi bali nafahamu
anaachiwa vipi Kwa huruma ya rais?
Byeyombo, kama ulivyojiita....kelele tupu!Kwani waliomfunga ni waislamu au serikali?
asante!Ilianzia nje ya mahakama na hata maamuzi yanaweza kutoka nje ya mahakama.
Mtume Muhammad saw alibariki KISASISasa inatosha muachie Lissu..................Muachieni Lissu
Na marisasi yoooooooooooooooooooooooooooooote mwilini......hamuoni huruma!
Mbona Mtume (SAW) an advocate huruma kwa wenzenu?
Hao hawajui alama za nyakati. Kila mtu anayemdhulumu Tundu Lisu atapatikana na matatizo makubwa. Muda utasema!Sasa inatosha muachie Lissu..................Muachieni Lissu
Na marisasi yoooooooooooooooooooooooooooooote mwilini......hamuoni huruma!
Mbona Mtume (SAW) an advocate huruma kwa wenzenu?
Badala ya kuhangaika na simba wa kwenye cage wa Kizimkazi a.k.a TAL a.k.a Tundu Antipas Lisu hangaikeni na wahuni wanaolizika taifa ingali bado linapumua.Sasa inatosha muachie Lissu..................Muachieni Lissu
Na marisasi yoooooooooooooooooooooooooooooote mwilini......hamuoni huruma!
Mbona Mtume (SAW) an advocate huruma kwa wenzenu?
Nikumbushe trh 31 oktoba nikupe majibuUmefahamu vipi kwamba hayupo humu?
Hawana muda huoWanakesha humuhumu kudukua watu
Huo mda sina , kama unashindwa kujibu hapa potezeaNikumbushe trh 31 oktoba nikupe majibu