Muajiri chuo cha Afya City College Mwanza hapeleki michango ya watumishi wake NSSF wala hajajiandikisha NSSF kwa kigezo kua waajiriwa wake wanalipiwa
Na City College Kigamboni kitu ambacho sio sawa kwa kuwa kila campus inajitegemea, NSSF Mwanza wameshindwa kuwajibisha ili kuwapa stahiki waajiriwa wa City College Mwanza