DOKEZO Muajiri wa Chuo cha Afya City College Mwanza hajajiandikisha NSSF wala hapeleki michango ya wafanyakazi wake kwa kisingizio kwamba tayari wanalipiwa

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Muajiri chuo cha Afya City College Mwanza hapeleki michango ya watumishi wake NSSF wala hajajiandikisha NSSF kwa kigezo kua waajiriwa wake wanalipiwa

Na City College Kigamboni kitu ambacho sio sawa kwa kuwa kila campus inajitegemea, NSSF Mwanza wameshindwa kuwajibisha ili kuwapa stahiki waajiriwa wa City College Mwanza
 
  • Thanks
Reactions: qwt
Shughulikieni mapema sana kabla hali haijawa mbaya zaidi.
 
Muajiri chuo cha Afya City College Mwanza hapeleki michango ya watumishi wake NSSF wala hajajiandikisha NSSF kwa kigezo kua waajiriwa wake wanalipiwa

Na City College Kigamboni kitu ambacho sio sawa kwa kuwa kila campus inajitegemea, NSSF Mwanza wameshindwa kuwajibisha ili kuwapa stahiki waajiriwa wa City College Mwanza
Ohoo
 
Back
Top Bottom