Wengine haturuhisiwi kupiga vigeregere??Linamo
Carba
Sakayo
Shunie
Emmyta
Numbisa
Neybright
Mbitiyanza
Joanal baby
Nawategemea vigeregere!
Wanawake wote tz ukaoe RwandaMimi muosha rungu aka DJ sepetu nataraji kuachana Na ukapera sugu.
Mwezi January Nina mpango Wa kufunga pingu za maisha kwa kumuoa binti Mrembo Wa kitutsi.
Najaribu kuona njia bora ya kupata
Wawakilishi watatu toka jf kunisindikiza mwezi Wa 12 ukweni
Rwanda kulipa mahari Na kukamilisha mila.
Nimeona niwataarifu wana jf wenzangu,naomba maombi yenu.
Mungu aweke baraka.
NipogoUpo my
Baby ulikochagua mke hujakosea sana manake ni wazuri wa sura ...Linamo
Carba
Sakayo
Shunie
Emmyta
Numbisa
Neybright
Mbitiyanza
Joanal baby
Nawategemea vigeregere!
Mimi nikuoe wwHawa watatu nilitaka niwagharamie!