Mualiko Wa harusi!

Mualiko Wa harusi!

Mimi muosha rungu aka DJ sepetu nataraji kuachana Na ukapera sugu.

Mwezi January Nina mpango Wa kufunga pingu za maisha kwa kumuoa binti Mrembo Wa kitutsi.

Najaribu kuona njia bora ya kupata
Wawakilishi watatu toka jf kunisindikiza mwezi Wa 12 ukweni
Rwanda kulipa mahari Na kukamilisha mila.

Nimeona niwataarifu wana jf wenzangu,naomba maombi yenu.
Mungu aweke baraka.
Wanawake wote tz ukaoe Rwanda
 
Beira Baby Boy Kesho Uandae Special Interview Kwq Ajili Ya Muoshwa Rungu DJ Sepetu Tafadhali
Gentries,
Numbisa
Shunie
Sakayo
Emmyta
Musaidie Interview Ime Mubashara Kabisa.
 
Back
Top Bottom