Masaa 6 ya kazi subiri jumatatuJana nilifanya muamala CRDB, nikatoa pesa Kutoka kwenye account kwenda kwenye line ya simu Yani cardless. Nilipofika ATM kufanya transaction, pesa ikakatwa kwenye line lakini kwenye ATM haikutoka pesa.
Nikajaribu kuwasiliana na huduma kwa wateja wakaniambia baada ya masaa 6 pesa itarudi. Nimesubiri ndani ya masaa 6 pesa haikurudi na mpaka muda huu bado haijarudi. Naombeni ushauri Wadau niokoe jahazi.
Itarudi mkuu nafikiri jana na Juzi huo mfumo haukuwa sawa.⁶Jana nilifanya muamala CRDB, nikatoa pesa Kutoka kwenye account kwenda kwenye line ya simu Yani cardless. Nilipofika ATM kufanya transaction, pesa ikakatwa kwenye line lakini kwenye ATM haikutoka pesa.
Nikajaribu kuwasiliana na huduma kwa wateja wakaniambia baada ya masaa 6 pesa itarudi. Nimesubiri ndani ya masaa 6 pesa haikurudi na mpaka muda huu bado haijarudi. Naombeni ushauri Wadau niokoe jahazi.
Ni automatic ileMasaa 6 ya kazi subiri jumatatu
CRDB za mkoani labda.Same scenario ilinitokea nilitoa laki nne ikagoma kutoka na kadi ikamezwa. Bahati nzuri wakanipa kadi ila pesa ilichukua kama masaa 72 kurudi
Ya Dar tena Holland ya postaCRDB za mkoani labda.
Walizingua sasa kina Lauwo.Ya Dar tena Holland ya posta
Customer service yao iliniridhisha maana nilijikuta nafungua na Simu banking bila kutakaWalizingua sasa kina Lauwo.
Simu Banking ndio kila kitu mkuu.Customer service yao iliniridhisha maana nilijikuta nafungua na Simu banking bila kutaka
Ni kweli mkuuSimu Banking ndio kila kitu mkuu.
Anaweza akawa hakuwa na akiba zaidi ya hiyo na hizo fedha zilikuwa na kununua dawa muhimu sana! Mbona ATM za nchi nyingine hazina matatizo ya mara kwa mara namna hii?Itarudi mkuu nafikiri jana na Juzi huo mfumo haukuwa sawa.
Mimi nilifanya hivyo juzi Alhamis ikawa inasema OTP sio sahihi lakini jana ndio muamala ukarudi ulichukua zaidi ya 24hours.
Kuwa mpole au toa tena
Ilinitokea pia siku moja nikaambiwa nisubir saa24 haikurudi nikaenda kwenye Tawi lao wakafanya yao baada ya muda ikarudi kwenye akaunti... So tembelea Tawi lao la karibu yakoJana nilifanya muamala CRDB, nikatoa pesa Kutoka kwenye account kwenda kwenye line ya simu Yani cardless. Nilipofika ATM kufanya transaction, pesa ikakatwa kwenye line lakini kwenye ATM haikutoka pesa.
Nikajaribu kuwasiliana na huduma kwa wateja wakaniambia baada ya masaa 6 pesa itarudi. Nimesubiri ndani ya masaa 6 pesa haikurudi na mpaka muda huu bado haijarudi. Naombeni ushauri Wadau niokoe jahazi.
Kama nchi gani?Anaweza akawa hakuwa na akiba zaidi ya hiyo na hizo fedha zilikuwa na kununua dawa muhimu sana! Mbona ATM za nchi nyingine hazina matatizo ya mara kwa mara namna hii?
Nyingine zote zaidi ''shit countries''Kama nchi gani?
NBC labda wawe kibubu kama ni Bank nao watakua na matatizo yale yale ya Network..Kuna shida kubwa sana Crdb kwa Sasa naangalia namna ya kuhamia NBC
Anyway kawaone huduma kwa mteja mule ndani
Nilihangaika na wakala hadi nikaona huyu atahisi nataka kumuibiaKuna shida pahala ,jana nimetoa kibunda yangu kwa wakala ,jibu lilikuja muamala umefeli , nikazama kwa atm nafika naambiwa pesa hazitoshi ,kucheki salio kumbe muamala ule umekamilika ,imagine ningekua na safar na ingekua ni eneo geni pesa ingeenda bure tu