Muamala CRDB

Muamala CRDB

Mpatuka

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2015
Posts
2,261
Reaction score
3,580
Jana nilifanya muamala CRDB, nikatoa pesa Kutoka kwenye account kwenda kwenye line ya simu Yani cardless. Nilipofika ATM kufanya transaction, pesa ikakatwa kwenye line lakini kwenye ATM haikutoka pesa.

Nikajaribu kuwasiliana na huduma kwa wateja wakaniambia baada ya masaa 6 pesa itarudi. Nimesubiri ndani ya masaa 6 pesa haikurudi na mpaka muda huu bado haijarudi. Naombeni ushauri Wadau niokoe jahazi.
 
Masaa 6 ya kazi subiri jumatatu
 
⁶Jana nilifanya muamala CRDB, nikatoa pesa Kutoka kwenye account kwenda kwenye line ya simu Yani cardless. Nilipofika ATM kufanya transaction, pesa ikakatwa kwenye line lakini kwenye ATM haikutoka pesa.

Nikajaribu kuwasiliana na huduma kwa wateja wakaniambia baada ya masaa 6 pesa itarudi. Nimesubiri ndani ya masaa 6 pesa haikurudi na mpaka muda huu bado haijarudi. Naombeni ushauri Wadau niokoe jahazi.
Itarudi mkuu nafikiri jana na Juzi huo mfumo haukuwa sawa.

Mimi nilifanya hivyo juzi Alhamis ikawa inasema OTP sio sahihi lakini jana ndio muamala ukarudi ulichukua zaidi ya 24hours.

Kuwa mpole au toa tena
 
Same scenario ilinitokea nilitoa laki nne ikagoma kutoka na kadi ikamezwa. Bahati nzuri wakanipa kadi ila pesa ilichukua kama masaa 72 kurudi
 
Itarudi mkuu nafikiri jana na Juzi huo mfumo haukuwa sawa.

Mimi nilifanya hivyo juzi Alhamis ikawa inasema OTP sio sahihi lakini jana ndio muamala ukarudi ulichukua zaidi ya 24hours.

Kuwa mpole au toa tena
Anaweza akawa hakuwa na akiba zaidi ya hiyo na hizo fedha zilikuwa na kununua dawa muhimu sana! Mbona ATM za nchi nyingine hazina matatizo ya mara kwa mara namna hii?
 
Ili
Jana nilifanya muamala CRDB, nikatoa pesa Kutoka kwenye account kwenda kwenye line ya simu Yani cardless. Nilipofika ATM kufanya transaction, pesa ikakatwa kwenye line lakini kwenye ATM haikutoka pesa.

Nikajaribu kuwasiliana na huduma kwa wateja wakaniambia baada ya masaa 6 pesa itarudi. Nimesubiri ndani ya masaa 6 pesa haikurudi na mpaka muda huu bado haijarudi. Naombeni ushauri Wadau niokoe jahazi.
Ilinitokea pia siku moja nikaambiwa nisubir saa24 haikurudi nikaenda kwenye Tawi lao wakafanya yao baada ya muda ikarudi kwenye akaunti... So tembelea Tawi lao la karibu yako
 
Anaweza akawa hakuwa na akiba zaidi ya hiyo na hizo fedha zilikuwa na kununua dawa muhimu sana! Mbona ATM za nchi nyingine hazina matatizo ya mara kwa mara namna hii?
Kama nchi gani?
 
Kuna shida pahala ,jana nimetoa kibunda yangu kwa wakala ,jibu lilikuja muamala umefeli , nikazama kwa atm nafika naambiwa pesa hazitoshi ,kucheki salio kumbe muamala ule umekamilika ,imagine ningekua na safar na ingekua ni eneo geni pesa ingeenda bure tu
 
Nilihangaika na wakala hadi nikaona huyu atahisi nataka kumuibia
 
Back
Top Bottom