Muamala CRDB

Mimi niliporud wakala akawa mbishi nikamwambia tizama salio tu tujue au kwenye history akajib kikuda eti mashine haina hizo option nikamwambia nipe niangalie mie mwenyewe
Mi niliangalia kwenye sim nikamwambia hela imetoka piga call center
 
Pole sana,
Mi wameniblock siwezi kulog in mwaka sasa.
Hela IMO mule wanalamba tu service charge km hawajanirehemu wachukue mazima.
 
Mimi ninachojua pesa kurudi CRDB kama ulitoa kwa cardless ni masaa 24
 
Same scenario ilinitokea nilitoa laki nne ikagoma kutoka na kadi ikamezwa. Bahati nzuri wakanipa kadi ila pesa ilichukua kama masaa 72 kurudi
Watanzania bana yani mnatoa wapi kisasi kikubwa hicho cha laki4 wakati nchi inapitia hali mbaya ya kiuchumi?
 
Pole sana,
Mi wameniblock siwezi kulog in mwaka sasa.
Hela IMO mule wanalamba tu service charge km hawajanirehemu wachukue mazima.
Sasa elfu 50 dollar 20 mwenyewe unaona ni hela ndeeefuuuu.
 
Nimekua na hamu kubwa na kujiunga na huduma ya internet banking ila mvivu kufika kwa tawi lao.Je hii kitu inawezekana online
 
Mrejesho
Wakuu Ile pesa yangu umerudi yote. Kilikua
 
Sasa umemuacha nani alinde endapo itatoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…