Muamala CRDB

Muamala CRDB

Pole sana,
Mi wameniblock siwezi kulog in mwaka sasa.
Hela IMO mule wanalamba tu service charge km hawajanirehemu wachukue mazima.
 
Mimi ninachojua pesa kurudi CRDB kama ulitoa kwa cardless ni masaa 24
 
Same scenario ilinitokea nilitoa laki nne ikagoma kutoka na kadi ikamezwa. Bahati nzuri wakanipa kadi ila pesa ilichukua kama masaa 72 kurudi
Watanzania bana yani mnatoa wapi kisasi kikubwa hicho cha laki4 wakati nchi inapitia hali mbaya ya kiuchumi?
 
Pole sana,
Mi wameniblock siwezi kulog in mwaka sasa.
Hela IMO mule wanalamba tu service charge km hawajanirehemu wachukue mazima.
Sasa elfu 50 dollar 20 mwenyewe unaona ni hela ndeeefuuuu.
 
Nimekua na hamu kubwa na kujiunga na huduma ya internet banking ila mvivu kufika kwa tawi lao.Je hii kitu inawezekana online
 
Mrejesho
Wakuu Ile pesa yangu umerudi yote. Kilikua
 
Jana nilifanya muamala CRDB, nikatoa pesa Kutoka kwenye account kwenda kwenye line ya simu Yani cardless. Nilipofika ATM kufanya transaction, pesa ikakatwa kwenye line lakini kwenye ATM haikutoka pesa.

Nikajaribu kuwasiliana na huduma kwa wateja wakaniambia baada ya masaa 6 pesa itarudi. Nimesubiri ndani ya masaa 6 pesa haikurudi na mpaka muda huu bado haijarudi. Naombeni ushauri Wadau niokoe jahazi.
Sasa umemuacha nani alinde endapo itatoka.
 
Back
Top Bottom