figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Yani da kipipi, Baba V na mzee wa mia nashinwa kuelewa imekuaje mpaka Lundenga akakimbia.
Yani da kipipi, Baba V na mzee wa mia nashinwa kuelewa imekuaje mpaka Lundenga akakimbia.
sio upepo bali hiki ni kimbuka. na kikipita kama hakitaondoka na nyumba basi kitaondoka na bati. ngoma ikiwa nzito tutamchagua mtu atutangazie Arabela kama mshindi halafu tunampa zawadi wenyewe. haiwezekani ushindi wa mtu uchakachuliwe hivihivi nasi tukubali. miaNi upepo tu huu utapita tu :smile:
Hatukukubali, lazima aje hapa!!, wee, kampeni zote zile hadi nimechukiwa na waume za watu baada ya kuwa PM wake zao!!
Mpaka sasa hivi tunajua jina pendwa ni Arabela, akichelewa tunajitangazia wenyewe! Tunamshukuru mzee wa mia figganigga kwa kutoa hii habari ili lundenga aione!