Nmepigwa na bumbuazi baada ya kuona Ruhazwe JR kaingia mitini.Alisema tupendekeze majina tukapendekeza, baada ya kuona Arabela amekuja kwa kasi baada ya kujikusanyia kura nyingi kaamua kuingia mitini. Sasa mheshimiwa ulitaka nani ashinde?. Njoo umpe vocha yake Arabela. Kama vipi ntaandamana hadi kwa Invisible.Ninacho muomba Arabela ni kuwa mvumilivu coz ntahakikisha anapata zawadi yake ya ushindi. Nashangaa kwanini kila uchaguzi wa bongo kuna kuchakachua. Twaomba zawadi zetu.Ni hayo tu. mia
hata mshindi mwenyewe inawezekana kapotea nae, mi nilishasema tangu mwanzo huyu jamaa tapeli
Nmepigwa na bumbuazi baada ya kuona Ruhazwe JR kaingia mitini.Alisema tupendekeze majina tukapendekeza, baada ya kuona Arabela amekuja kwa kasi baada ya kujikusanyia kura nyingi kaamua kuingia mitini. Sasa mheshimiwa ulitaka nani ashinde?. Njoo umpe vocha yake Arabela. Kama vipi ntaandamana hadi kwa Invisible.Ninacho muomba Arabela ni kuwa mvumilivu coz ntahakikisha anapata zawadi yake ya ushindi. Nashangaa kwanini kila uchaguzi wa bongo kuna kuchakachua. Twaomba zawadi zetu.Ni hayo tu. mia
Hehehehe! kafanyaje!!! Ruhazwe JR Lundenga njoo haraka ujibu tuhuma hizi ni nzito sana, fanya fasta kabla hatujaanza maandamano!!! lete zawadi ya Arabela
Jamani haya mashindano yamefanyika mi nikiwa wapi? Si tulipendekeza majina tu? Ila Arabela ndo alitajwa sana!
Yani da kipipi, Baba V na mzee wa mia nashinwa kuelewa imekuaje mpaka Lundenga akakimbia.
Mpaka sasa hivi tunajua jina pendwa ni Arabela, akichelewa tunajitangazia wenyewe! Tunamshukuru mzee wa mia figganigga kwa kutoa hii habari ili lundenga aione!
Wee unafikiri umiss unatolewa bure?nachanganyikiwa kweli yani. Remmy mpendwa nipe maujanja mbona kwako hakukimbia?
Nmepigwa na bumbuazi baada ya kuona Ruhazwe JR kaingia mitini.Alisema tupendekeze majina tukapendekeza, baada ya kuona Arabela amekuja kwa kasi baada ya kujikusanyia kura nyingi kaamua kuingia mitini. Sasa mheshimiwa ulitaka nani ashinde?. Njoo umpe vocha yake Arabela. Kama vipi ntaandamana hadi kwa Invisible.Ninacho muomba Arabela ni kuwa mvumilivu coz ntahakikisha anapata zawadi yake ya ushindi. Nashangaa kwanini kila uchaguzi wa bongo kuna kuchakachua. Twaomba zawadi zetu.Ni hayo tu. mia
Epuka Taarifa mfu,nenda kapige kura katika thread husika