Muangalieni Ester Mwakijambile wa bss 2013 kwenye moja ya show zake

Muangalieni Ester Mwakijambile wa bss 2013 kwenye moja ya show zake

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
DSCN9915.JPG
NI POZI AMA TEGO

MI SISEMI LEO,NAWAACHIA NYIE
 
Dah..sio Ester mkuu...huyo sio Maina kweli?hata hivyo yule Mwakijambile jina lake ni Elizabeth..

Dah...ila hilo pozi ni hatari tupu.
 
Naona neema alizojaaliwa na mungu kwa mbali
 
Kuna Watu wanakurupuka hakuna mshiriki wa EBSS 2013 aliekuwa anaitwa Esther Mwakijambile bali Elizabeth Mwakijambile na tena huyo kwenye picha sio yeye... Mi nlifikiri makanjanja ni Global publishers kumbe hata JF wapo
 
Dah ila poa ndiyo 2013 inaishia tufanyeje sasa?
 
Kwa kudanganya umenufaika nini ?

Kwanza aliitwa Elizabeth sio Easter.....pilli hata hafananii hivyo kwa hiyo pichani sio yeye.
 
huyo labda ni ester mwakijambile,ila kama ulimaanisha elizabeth mwakijambile sio huyo
 
Back
Top Bottom