Muasisi wa kituo kikubwa zaidi cha Qur an nchini Senegal afariki dunia.

GIRITA

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
4,541
Reaction score
6,020
Kwa mujibu wa taarifa, Shaykha Maryam Niasse alifariki Jumamosi katika mji mkuu wa Senegal, Dakar.

Shaykha Niasse ambaye alikuwa maarufu kama ‘Mhudumu wa Qur’ani’ alianzisha Kituo cha Elimu ya Qur’ani cha Shaikh al-Islam Hajj Ibrahim Niasse huko Dakar mwaka 1984.

Kituo hicho sasa kimanzisha matawi katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi. Shaykha Niase anaenziwa kutokana na jitihada zake za kueneza mafunisho ya Qur’ani na kueneza Uislamu kwa ujumla katika eneo zima la Afrika Magharibi.

Karibu asilimia 93 ya watu wote nchini Senegal ni Waislamu na aghalabu ni Masufi wenye kufuata madhehebu ya Imam Malik.

Inalillah wainna ilayh rajiuun....allah ampe kauli thabiti shujaa wa kitabu kitukufu kupita vyote ulimwenguni.
 
innna lillah
 
Back
Top Bottom