Muasisi wa vurugu zinazofanywa na Greenguard wa CCM dhidi ya wapinzani ni Mwl Julius Nyerere

Muasisi wa vurugu zinazofanywa na Greenguard wa CCM dhidi ya wapinzani ni Mwl Julius Nyerere

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Akiwa kama kiongozi wa Tanu aliasisi na kuanzisha kikundi cha ulinzi kilichokiwa kinaitwa Bantu group.

Bantu group walikuwa wanatembea na silaha jadi na walikuwa na kazi maalumu ya kudhibiti wapinzani wa Nyerere kwa vurugu .

Hawa ndio chimbuko la Greenguard ya CCM.

Ndio maana hadi leo hii Greenguard ya CCM wanafanya vurugu na kuharibu vizimba vya Chadema ili bendera za Chadema zisitundikwe.
 
Back
Top Bottom