rehanishabani
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 319
- 59
Kama hapendi kufanyiwa opertion kuna dawa ambazo anaweza kutumia na zkamponyesha kansa .na hata huo ukmwi kunadawa za kuongeza cd4,kwa maelezo zaid 0712757453
Duh!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hapendi kufanyiwa opertion kuna dawa ambazo anaweza kutumia na zkamponyesha kansa .na hata huo ukmwi kunadawa za kuongeza cd4,kwa maelezo zaid 0712757453
Hapo kwenye angalizo tu inatosha kuona unavyojichanganya. Kwanini aache taratibu? Unaweza kuacha kunywa sumu ya panya taratibu taratibu? Kwanini usiache mara moja kuepusha madhara zaidi?!!!!
Nashangaa polisi wamemkakamata jamaa aliyekuwa anatoa taarifa za uongo kuhusu yule Generali wa jeshi, ila hawajakukamata wewe.. Maana wewe ni muuaji na mpotoshaji,, unatumia ujinga wa watu kuwahadaa.
mkuu ni njia ip ya kuondoa sumu mwilini inayo tokana na kutumia dawa za Mseto kwa mda mrefu na antibiotics? kama dawa za typhod na UT????
Wewe kama ni Muathirika wa Ukimwi na Ugonjwa wa Kansa ya maziwa akaNaomba kufahamu je mwathirika wa ugonjwa wa UKIMWI anaweza kufanyiwa upasuaji wa kansa kama ya titi na akazidi kusurvive?
Msaada please.