Muathirika wa VVU anaweza kufanyiwa operation ya Kansa na kuendelea kuishi vizuri?



1.Hapo kwenye angalizo tu inatosha kuona unavyojichanganya. Kwanini aache taratibu?

He he heee,yaani wewe utakuwa mweupe sana kielimu,hata hiyo fani yako unayoikumbatia bado huielewi vizuri.Usichanganye athari za sumu ya panya na ARVs.Ngoja nikupe sababu za kisayansi kuonesha kwamba mimi sikurupuki kama fulani,na kwanini nimesema hivyo.

ARVs zote ni addictive kama zilivyo dawa za kulevya,nadhani hata wewe pamoja na uelewa mdogo ulio nao utakua unajua kwamba watumiaji wa dawa za kulevya hawaachi ghafla,huwa kuna clinic maalum kama zile zinazoitwa methadone clinics,watu hawa huenda kwenye clinics hizo kuachishwa dawa kwa utaratibu maalum,hawaachishwi ghafla ili kuepuka side effects zinazosababishwa na addiction ya dawa hizo za kulevya,watumiaji wa madawa haya wanazijua vizuri hizo side effects endapo wataacha ghafla,unaweza kuwauliza kama unawajua ili kuthibitisha hili.

ARVs vivyo hivyo.Mfano mzuri wa ARVs yenye addiction na pia ina component inayofanana kabisa na ile iliyopo kwenye cocaine na heroin ni kundi la ARVs zinazojumuisha dawa ya efavirenz.Kundi hili la ARVs hutumika na mateja maeneo mbalimbali duniani mfano South Africa.Kule South Africa mateja hujimwaya na ARVs na wananing'inia kama kawa,hawana haja ya kutumia dawa zenye gharama kubwa tena baada ya kugundua siri hii.Mateja hawahuzinunua ARVs kwa dili kutoka kwa wahudumu wa afya,Je,ulikuwa unajua hili jambo wewe?Sasa hivi ARVs kama Sustiva ndio mkombozi wa mateja kule SA.

Sasa ninaposema inabidi kuwe na utaratibu wa kuacha nina maana kubwa sana,usikurupuke kujibu kabla ya kudadisi.Watu karibu wote waliotumia ARVs kwa muda mrefu wakiacha ghafla wanaumwa sana na wanaweza kufa kama hawajui jinsi ya kupambana na side effects zinazotokana na kuacha ghafla.Mimi najua jinsi ya kupambana nazo,nasema hivyo kwa kuwa nimeshawaachisha watu kadhaa na wako fiti hadi leo.Vitengo vya HIV/AIDS duniani vinanuka dhambi.


2.
Nashangaa polisi wamemkakamata jamaa aliyekuwa anatoa taarifa za uongo kuhusu yule Generali wa jeshi, ila hawajakukamata wewe..

Hakuna mwenye uhalali wa kunikamata na kunihukumu mimi kwa kuwa mimi nazungumzia sayansi,sio siasa.Ili uweze kunihukumu,kwanza lazima uthibitishe kwamba ninachokisema ni uongo,hakuna mwenye uwezo wa kuthibitisha hilo,kama wewe unaweza thibitisha kama mimi nadanganya.

Kwa kuwa wewe ni mweupe sana kichwani,nataka nikujuze kwamba tayari kesi hizi zinazohusu masuala ya HIV/AIDS zilishazungumzwa sehemu mbalimbali duniani na mara zote hizo wale wanaounga mkono HIV/AIDS hypothesis walilambishwa mchanga na watu kama mimi.Mojawapo ya kesi hizo ilifanyika kwenye mahakama moja kule Ujerumani.Kama na wewe unataka kujiaibisha na kunipa umaarufu basi jaribu uone,au katoe taarifa polisi halafu tutinge kwenye mimbari uone uwezo wangu.Angalia usije ukashtua ndege waliobaki tunduni,tundu litabaki tupu na usipate maslahi tena.

3.
Maana wewe ni muuaji na mpotoshaji..

Bado hujaongea kitu,kinachokupasa ni kuthibitisha kwamba mimi ni muuaji na mpotoshaji bali wewe sio.

Nakuasa uache tabia ya kupenda kunufaika kwa kuangamiza watu wasio na makosa.Mnaua watu kwa kuwapa madawa yenye sumu(ARVs) na mnanufaika kwa kuanzisha ma NGO yanayoingiza pesa nyingi kutokana na nadharia feki ya HIV/AIDS.CDC na wamiliki wa viwanda vya madawa wanarubuni serikali na kufanya biashara ya kuuza ARVs kupitia serikali zetu.Sasa hivi kikopo kimoja cha ARVs kimepanda bei na mtu uki test HIV+ papo hapo unarundikiwa ZIGO la ARVs hata bila kujali kiwango chako cha CD4.Mnabadilisha nadharia kuhusu HIV/AIDS kila kukicha,toka lini sayansi ikageukageuka,huu ni ulaghai uliopitiliza na haupaswi kuvumiliwa.

"I am ready to sacrifice my life for the benefits of other innocent ignorant people,I don't stand to be corrected because what I say is the real truth,ENOUGH IS ENOUGH"
 
mkuu ni njia ip ya kuondoa sumu mwilini inayo tokana na kutumia dawa za Mseto kwa mda mrefu na antibiotics? kama dawa za typhod na UT????

Kuna supplements za aina mbalimbali huweza kuondoa sumu kwa hara sana,supplements hizi ni gharama kiasi.Lakini kwa kuwa hapa siko kibiashara,nitakushauri utumie vyakula tu kuondoa sumu.

1.Kunywa juisi ya green leafy vegetables(juisi ya mboga mbichi za majani) kama celery na spinach glasi 1 kwa siku.
2.Kunywa juisi ya matunda yenye mchanganyiko wa karoti,parachichi,apple na stafeli glasi moja kwa siku.
3.Pendelea kutumia chai ya tangawizi kila siku asubuhi.
4.Kunywa maji safi na salama angalau lita 2 kwa siku.
5.Kunywa glasi moja ya maji vuguvugu yaliyochanganywa na limao 1 kila siku alfajiri baada ya kuamka na kabla hujala chochote.Hata ukifanya hivi angalau mara 3/4 kwa wiki inatosha.

Kuna vyakula vingi sana vinavyoweza kufanya kazi hiyo,lakini nimekuwekea baadhi tu.Pia pendelea kufanya mazoezi kama vile kukimbia taratibu mpaka jasho litoke angalau mara 3 kwa wiki.Medical system haziwezi kuwashauri watu kufanya hivi kwa kuwa watakosa wateja wa kununua dawa zao.

Huu ni ushauri wa bure kwa kila mtu.Ukitaka kujua ukweli huu,basi fanya kwa vitendo haya ninayosema yote halafu jilinganishe afya yako kabla na baada ya kuanza utaratibu huu baada ya mwezi mmoja.
 
Hapa tupo kwa ajil ya kusaidiana ila so kupiga dili usimdharau mtu uso mjua kuwa yoko kasoma nn na anafanya nn wengne tupo tunajitambua.sie unaemuona ni mganga wa kienyeji lekebsha kauli ndugu
 
Naomba kufahamu je mwathirika wa ugonjwa wa UKIMWI anaweza kufanyiwa upasuaji wa kansa kama ya titi na akazidi kusurvive?

Msaada please.
Wewe kama ni Muathirika wa Ukimwi na Ugonjwa wa Kansa ya maziwa aka
(Breast cancer) njoo na pesa zako nikutibie upate kupona pasipo na kufanyiwa Operesheni yoyote ile. Ukihitaji huduma za Matibabu yangu bonyeza hapa.Mawasiliano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…