Mubaarak Naasir kutoka Tanzania aliyekuwa mwanachama wa kundi la kigaidi ISIS, asimulia hadithi yake yote

Mubaarak Naasir kutoka Tanzania aliyekuwa mwanachama wa kundi la kigaidi ISIS, asimulia hadithi yake yote

1academ

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
2,316
Reaction score
3,567
aisee mazee dah

Mubaarak Naasir Saciid kutoka Tanzania, aliyekuwa mwanachama wa kundi la kigaidi ISIS, anashiriki nasi hadithi yake yote." mahojiano haya yamrchaiswa na Puntland Security Force kupitia mtandao wa X

View: https://x.com/PSFForces/status/1844760060854931732?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1844760060854931732%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=

Mbona simulizi yenyewe imekuja kuingiliwa na lugha isiyojulikana.

Wewe mtoa mada unaielewa lugha hiyo ukaweza kutusimulia kisa kizima?
 
Ndugu zangu Waislam ifike wakati tukatae hawa wahuni (magaidi) wasitumie uslam kutekeleza upuuzi wao, vijana na watoto wetu wanatumikishwa kwa malengo ta watu wachache wanaojificha kwenye mgongo wa dini! Sisi ndo tuwe wakwanza kupiga vita ugaidi ili magaidi waone katika uislam siyo sehemu salama tena kwao kujificha.
 
aisee mazee dah

Mubaarak Naasir Saciid kutoka Tanzania, aliyekuwa mwanachama wa kundi la kigaidi ISIS, anashiriki nasi hadithi yake yote." mahojiano haya yamrchaiswa na Puntland Security Force kupitia mtandao wa X

View: https://x.com/PSFForces/status/1844760060854931732?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1844760060854931732%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=

Muislam yoyote,is just one scripture away from becoming a terrorist, and kill even his family.
 
Ndugu zangu Waislam ifike wakati tukatae hawa wahuni (magaidi) wasitumie uslam kutekeleza upuuzi wao, vinaja na watoto wetu wanatumikishwa kwa malengo ta watu wachache wanaojificha kwenye mgongo wa dini! Sisi ndo tuwe wakwanza kupiga vita ugaidi ili magaidi waone katika uislam siyo sehemu salama tena kwao kujificha.
Hayo makundi hata useme mara ngapi ila ndio hivyo , vijana wanachuliwa eti kuna kazi halafu wanaanza kujikuta kama wako jela ...Tumehoji jamaa miaka ya 2005 alipelekwa na baadhi ya maagent wako kenya hapo ,usikubali mtu akasema anaenda kusoma dini kenya bora markazi za ndani .

Hizo clips zipo nyingi sana , nchi kama Iran wananyongwa hao .
 
Naisikilizaje, kila nikibonyeza kinakuja hiko kisomali?
Jamaa ameeleza mwanzo mwisho , walichukuliwa kama kuna kazi , baadae walipofika wakaambia wanaenda kupigania dini , wakapewa mafunzo ya mwezi mmoja na nusu ..Halafu wakaenda kupigana na Al shabab .

Pia, jamaa kataja wenzie ambao wanatokea somalia , kenya , morroco, ethiopia na Tunisia ila kwa majina hajui anajua utaifa wao ...Kiongozi wao ni Mtu wa ethiopia ...Wamekaa kweny milima zaidi ya mwaka , jamaa akachaguliwa kuwa mstari wa mbele kweny vita .

Jamaa anasema walipanga kutoroka , basi walikimbilia kijiji cha jirani wakina na njaa sana .
 
Ndugu zangu Waislam ifike wakati tukatae hawa wahuni (magaidi) wasitumie uslam kutekeleza upuuzi wao, vinaja na watoto wetu wanatumikishwa kwa malengo ta watu wachache wanaojificha kwenye mgongo wa dini! Sisi ndo tuwe wakwanza kupiga vita ugaidi ili magaidi waone katika uislam siyo sehemu salama tena kwao kujificha.
Dini ilienezwaje? Huwez kumwambia mtu aachane na damu yake.
 
Akina bi FaizaFoxy wanakwambia Isis iliundwa na Israel pamoja na Marekani.
Muumini anashika bunduki anaua Muumini mwenzake lawama anapewa Marekani.

Huwa najiuliza kwanini Marekan wanashindwa kuunda vikundi vya Wasabato, Wakatoliki, Walutherani, hata vya Walokole akawapa bunduki waue watu?

Kuna udhaifu mahali.
 
Back
Top Bottom