Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
US ilisaidia Mujahidin waliokua wanapigana na Soviet Union, US haijatengeneza Al Qaida.
Iran transported the problems to middle east
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
US ilisaidia Mujahidin waliokua wanapigana na Soviet Union, US haijatengeneza Al Qaida.
AseeWote hao wanatafuta hela
Haya ndo maneno, sasa waislam wengi hawakemei haya.Ndugu zangu Waislam ifike wakati tukatae hawa wahuni (magaidi) wasitumie uslam kutekeleza upuuzi wao, vijana na watoto wetu wanatumikishwa kwa malengo ta watu wachache wanaojificha kwenye mgongo wa dini! Sisi ndo tuwe wakwanza kupiga vita ugaidi ili magaidi waone katika uislam siyo sehemu salama tena kwao kujificha.
Yule case yake ni specialAkina bi FaizaFoxy wanakwambia Isis iliundwa na Israel pamoja na Marekani.
Wee kwahio hawampiganii alaa hao??Una onesha una akili za samaki, ukigeuka tu, umesahau ulichosoma. Au ndiyo shule za kusomea ujinga? Huelewi unachokisoma? Au ni uongo wa ukondoo tu unakusumbuwa.
Hayo ni maneno ya Trump tena kupitia CNN. Jikumbushe:
Here’s how ISIS was really founded
By Jason Hanna, CNN
4 minute read
Updated 2:05 PM EDT, Sat August 13, 2016...
https://edition.cnn.com/2016/08/12/middleeast/here-is-how-isis-began/index.html
Mbona i asema Kisomali?
Uongo mtupu.
Ndio , Hamas uliwasikia wapi nje ya palestina ? wanapigania uhuru wa nchi yao ...Mazayuni walishasema sio rahisi kuwashinda waislamu bila ya intelejensia ....Wanachafu kwa kutengeneza makundi.Alshabaab, bokoharam, Hezbollah, Hamas, Islamic jihad, jamaa Islamist, alqaeda, Isis nk. Haya makundi yote ya magaidi yalianzishwa na mazayuni sio?!
Halafu unajificha kweny kivuli cha uislamu kama ISIS , ndio maana nakuambia acha unafiki 😀 😀Gaidi namba 1 ni Allah tunamtafuta yeye tumtandike risasi mbili za matacle
Naam waache watafute pesa ni kawaida ya binadamuAsee
Wewe Nakushangaa sana, unaongea Kiswahili lakini hata maana ya neno jihad huijuwi.Wanajua sana kwamba wanapigania jihad ila wakikamatwa ndio wanatunga uongo
Yule si chizi wa kidini.Akina bi FaizaFoxy wanakwambia Isis iliundwa na Israel pamoja na Marekani.
Huo ndiyo ukweli wao. Tofauti na hapo lazima uwe MNAFIKIMsilete mambo ya kihuni.
Uislamu wa kweli huwezi kuutenga na kumwaga damu (ugaidi).
Mtume wenu ndiye muasisi wa ugaidi.
Kapigana zaidi ya mara 83 kwasababu ya Allah.
Kwahiyo nyie waislamu vuguvugu ni heri muje tu kwa Yesu muishi kwa furaha au mkatimize uislamu wa kweli kwa kuua.
Hahahaaaa alha ni liuwajiGaidi namba 1 ni Allah tunamtafuta yeye tumtandike risasi mbili za matacle
Kwani uko si mnauwana shia na suni kwa Upumbavu wenu.Ndio , Hamas uliwasikia wapi nje ya palestina ? wanapigania uhuru wa nchi yao ...Mazayuni walishasema sio rahisi kuwashinda waislamu bila ya intelejensia ....Wanachafu kwa kutengeneza makundi.
Jews ndio walitengeneza kundi la kwanza la kigaidi , hayo makundi ukimuuliza babu yako hayajui ni ya juzi hapa
Mnashindwa kupambana na ugaidi kwa vile hamjui chanzo chake ni nn ? ISIS imeua waislamu wengi syria , iraq ,lebanon kushinda hata idadi ya jamii nyingine .
View attachment 3127733
Barikiwa sana na YESUMagaidi washughulikiwe kwa nguvu zote
Kumbe ndo mnatoaga huko pesa zenuNaam waache watafute pesa ni kawaida ya binadamu
Sasa mtu utampangia hustle zake?Kumbe ndo mnatoaga huko pesa zenu