Sikiliza vizuri sio ukurupuke , sikiliza kuanzia mwanzo .Akina bi FaizaFoxy wanakwambia Isis iliundwa na Israel pamoja na Marekani.
Mbona simulizi yenyewe imekuja kuingiliwa na lugha isiyojulikana.aisee mazee dah
Mubaarak Naasir Saciid kutoka Tanzania, aliyekuwa mwanachama wa kundi la kigaidi ISIS, anashiriki nasi hadithi yake yote." mahojiano haya yamrchaiswa na Puntland Security Force kupitia mtandao wa X
View: https://x.com/PSFForces/status/1844760060854931732?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1844760060854931732%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=
Kuna subtitle mwanzo mwishoMbona simulizi yenyewe imekuja kuingiliwa na lugha isiyojulikana.
Wewe mtoa mada unaielewa lugha hiyo ukaweza kutusimulia kisa kizima?
Muislam yoyote,is just one scripture away from becoming a terrorist, and kill even his family.aisee mazee dah
Mubaarak Naasir Saciid kutoka Tanzania, aliyekuwa mwanachama wa kundi la kigaidi ISIS, anashiriki nasi hadithi yake yote." mahojiano haya yamrchaiswa na Puntland Security Force kupitia mtandao wa X
View: https://x.com/PSFForces/status/1844760060854931732?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1844760060854931732%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=
Naisikilizaje, kila nikibonyeza kinakuja hiko kisomali?Kuna subtitle mwanzo mwisho
Hayo makundi hata useme mara ngapi ila ndio hivyo , vijana wanachuliwa eti kuna kazi halafu wanaanza kujikuta kama wako jela ...Tumehoji jamaa miaka ya 2005 alipelekwa na baadhi ya maagent wako kenya hapo ,usikubali mtu akasema anaenda kusoma dini kenya bora markazi za ndani .Ndugu zangu Waislam ifike wakati tukatae hawa wahuni (magaidi) wasitumie uslam kutekeleza upuuzi wao, vinaja na watoto wetu wanatumikishwa kwa malengo ta watu wachache wanaojificha kwenye mgongo wa dini! Sisi ndo tuwe wakwanza kupiga vita ugaidi ili magaidi waone katika uislam siyo sehemu salama tena kwao kujificha.
Jamaa ameeleza mwanzo mwisho , walichukuliwa kama kuna kazi , baadae walipofika wakaambia wanaenda kupigania dini , wakapewa mafunzo ya mwezi mmoja na nusu ..Halafu wakaenda kupigana na Al shabab .Naisikilizaje, kila nikibonyeza kinakuja hiko kisomali?
Dini ilienezwaje? Huwez kumwambia mtu aachane na damu yake.Ndugu zangu Waislam ifike wakati tukatae hawa wahuni (magaidi) wasitumie uslam kutekeleza upuuzi wao, vinaja na watoto wetu wanatumikishwa kwa malengo ta watu wachache wanaojificha kwenye mgongo wa dini! Sisi ndo tuwe wakwanza kupiga vita ugaidi ili magaidi waone katika uislam siyo sehemu salama tena kwao kujificha.
walikamatwa mwaka 2005 mpaka leo huo mtandao haujulikani ila inasememekana ni multinational projects , kuna regional brach ya Africa , Asia , America na Europe ....Kwa Africa Ethiopio ndio kitovu kutwa wanaua orthodox ...Mgemuliza Uislam unasema nini kuwauwa watu wasio na makosa. Hizo ni fikra za Kiyahudi.
Dini ipi ?Dini ilienezwaje? Huwez kumwambia mtu aachane na damu yake.
Muumini anashika bunduki anaua Muumini mwenzake lawama anapewa Marekani.Akina bi FaizaFoxy wanakwambia Isis iliundwa na Israel pamoja na Marekani.
Lete clip nyingine zaidiaisee mazee dah