Jamani,
Hawa wadau wetu wa lugha pendwa ya kiswahili wanatuchanganya, TBC1 siku zote matukio ya moja kwa moja wanaandika Mbashara wakati ITV wao wanaandika Mubashara, kwa anayeelewa hili neno atufafanulie maana sisi Watz ndio tunaopaswa kufahamu lugha hi zaidi kuliko wengine.