J JINOME JF-Expert Member Joined May 29, 2017 Posts 958 Reaction score 1,427 May 18, 2018 #1 Leo ni fainali ya Kombe la Mkuu wa Majeshi. Mashindano haya yanafanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Fuatilia moja kwa moja kupitia kituo cha Television cha ITV Super Brand.
Leo ni fainali ya Kombe la Mkuu wa Majeshi. Mashindano haya yanafanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Fuatilia moja kwa moja kupitia kituo cha Television cha ITV Super Brand.
kigogo warioba JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 6,048 Reaction score 9,398 May 18, 2018 #2 Hayo mashindano yana faida gani kwa mtu wa kawaida?
J JINOME JF-Expert Member Joined May 29, 2017 Posts 958 Reaction score 1,427 May 18, 2018 Thread starter #3 kigogo warioba said: Hayo mashindano yana faida gani kwa mtu wa kawaida? Click to expand... Ukiangalia mechi ya simba na yanga unafaidika na nini?
kigogo warioba said: Hayo mashindano yana faida gani kwa mtu wa kawaida? Click to expand... Ukiangalia mechi ya simba na yanga unafaidika na nini?
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 May 18, 2018 #4 Jeshi Ni Hazina
kigogo warioba JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 6,048 Reaction score 9,398 May 18, 2018 #5 JINOME said: Ukiangalia mechi ya simba na yanga unafaidika na nini? Click to expand... ok, simba na yanga ni vilabu some times wanawakilisha taifa, je wanajeshi wanawakilisha kombe gani?
JINOME said: Ukiangalia mechi ya simba na yanga unafaidika na nini? Click to expand... ok, simba na yanga ni vilabu some times wanawakilisha taifa, je wanajeshi wanawakilisha kombe gani?
Nahonyo JF-Expert Member Joined Dec 28, 2012 Posts 5,550 Reaction score 5,379 May 18, 2018 #6 kigogo warioba said: ok, simba na yanga ni vilabu some times wanawakilisha taifa, je wanajeshi wanawakilisha kombe gani? Click to expand... Nawe unaeuliza hivi, ni mpenda michezo? Dunia haishi vituko hii. Na wale wanaopenda michozo inayo fanyika nje ya nchi.
kigogo warioba said: ok, simba na yanga ni vilabu some times wanawakilisha taifa, je wanajeshi wanawakilisha kombe gani? Click to expand... Nawe unaeuliza hivi, ni mpenda michezo? Dunia haishi vituko hii. Na wale wanaopenda michozo inayo fanyika nje ya nchi.
kigogo warioba JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 6,048 Reaction score 9,398 May 18, 2018 #7 Nahonyo said: Nawe unaeuliza hivi, ni mpenda michezo? Dunia haishi vituko hii. Na wale wanaopenda michozo inayo fanyika nje ya nchi. Click to expand... hivi unaandika kwa kutumia nini?
Nahonyo said: Nawe unaeuliza hivi, ni mpenda michezo? Dunia haishi vituko hii. Na wale wanaopenda michozo inayo fanyika nje ya nchi. Click to expand... hivi unaandika kwa kutumia nini?