Mubashara ITV: Mashindano ya Kombe la Mkuu wa Majeshi(CDF CUP) Uwanja wa Uhuru

Mubashara ITV: Mashindano ya Kombe la Mkuu wa Majeshi(CDF CUP) Uwanja wa Uhuru

JINOME

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2017
Posts
958
Reaction score
1,427
Leo ni fainali ya Kombe la Mkuu wa Majeshi. Mashindano haya yanafanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Fuatilia moja kwa moja kupitia kituo cha Television cha ITV Super Brand.
 
ok, simba na yanga ni vilabu some times wanawakilisha taifa, je wanajeshi wanawakilisha kombe gani?
Nawe unaeuliza hivi, ni mpenda michezo? Dunia haishi vituko hii.
Na wale wanaopenda michozo inayo fanyika nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom