[MUCCoBS],Waliobadili programme/couse kukosa mkopo chuo cha MUCCoBS ,

Perry!! udsm ni kwa warembo hakuna kitu hapo,,karibu muccobs uone kama utauweza mzik wa pale, pia fuatilia products zetu
 
Perry!! udsm ni kwa warembo hakuna kitu hapo,,karibu muccobs uone kama utauweza mzik wa pale, pia fuatilia products zetu

ntafuatiliaje chuo cha kata mie?me nafuatilia vyuo vya maana kama udsm,makerere au oxford!
 
Watu wengine bwana, ulimbuken umewajaa, inamaana hujui kuwa kuapply udsm ni uamuz wa mtu? muccobs ni kwetu tunaojielewa

yaaan huyo anaeponda MUCCOBS kilaza kweli, tunawakimbiza mitiani hadi ya bodi (CPA) angalia tokeo usibwatuke tu, then kuhusu taarifa za mkopo its true waliobadili courz wanaweza wakachelewa kupata mkopo, jipange.............
 
ww unatathmini za wapi, tatizo la bongo ndio hili, kila mtu anajua, fata maisha yako, kama unaona post haina maana kwako mawazo yako sio ya muhimu, eti kitaani, tafuta kaz ww kwanza, ongea kama msomi sio mkulima
 
Ni kweli kama ulibadili kozi then zile taarifa za kubadili kozi hazikufika bodi ya mikopop hawawezi kukupa mkopo,kuhusu supplimentary sijui inakuaje.Kwa UDSM walipewa taarifa mapema na wakaambiwa wapeleke taarifa so wapo wanashughulikiwa japo kwenye walioletewa boom majina hayajaja so wanasubiri HESLB kwa sasa ila mkopo upo kama taarifa zimepelekwa
 
nyny mnathnk ni uzembe wa chuo au loan ofisa ma chuo.....???*

kila chuo ndvyo imekua hvyo hvyo
loan board ndo wamechelewa kuprocess taarifa zile......me me mwenyewe hapa chuon kwetu ivo ivo
na me me ni miongon mwa wahanga wa hlo vjana wangu........so msikae mkaanza kublame blame
mambo yatanoga suuuun.........
 

Pamoja sanaa mkuu
 
Duu!!! Polen jaman ila wanaohusika na uzembe huu wachukuliwe hatua stahiki!!

Mpaka sasa kuna hali ya SINTOFAHAMU hapa MUCCoBS waziri wa mikopo alisema amekwenda bodi ya mikopo amerudi jana ila hamna tangazo lolote lililopo juu ya wanafunzi walionyimwa mkopo ,swali je huyu waziri kaenda bodi ya mikopo kufanya nini? mbona hatupi taarifa ya yaliyojiri huko bodi ya mikopo.
 
huyo waziri wenu wa mikopo inwezekana alikuja kula bata huku jijini DSM na pesa zenu nyie hamnyigundui tu,huyu angekuwa UDSM mbona tungemfurusha kwa uzembe wake wa kiboya,ila kwa sababu chuo chenu ni cha kata wajanja wanakula pesa zenu
 
huyo waziri wenu wa mikopo inwezekana alikuja kula bata huku jijini DSM na pesa zenu nyie hamnyigundui tu,huyu angekuwa UDSM mbona tungemfurusha kwa uzembe wake wa kiboya,ila kwa sababu chuo chenu ni cha kata wajanja wanakula pesa zenu

Ngoja tufuatilie ili tujue alienda kufanya nini huko HESLB...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…