Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Perry!! udsm ni kwa warembo hakuna kitu hapo,,karibu muccobs uone kama utauweza mzik wa pale, pia fuatilia products zetu
Watu wengine bwana, ulimbuken umewajaa, inamaana hujui kuwa kuapply udsm ni uamuz wa mtu? muccobs ni kwetu tunaojielewa
Duu!!! Polen jaman ila wanaohusika na uzembe huu wachukuliwe hatua stahiki!!
nyny mnathnk ni uzembe wa chuo au loan ofisa ma chuo.....???*
kila chuo ndvyo imekua hvyo hvyo
loan board ndo wamechelewa kuprocess taarifa zile......me me mwenyewe hapa chuon kwetu ivo ivo
na me me ni miongon mwa wahanga wa hlo vjana wangu........so msikae mkaanza kublame blame
mambo yatanoga suuuun.........
Pamoja sanaa mkuu
me me mwenyewe ni muhanga wa hlo
hapa sua,so tuwaweit bodi wapge kaz yao bw. mpiga kitin au vp????
Duu!!! Polen jaman ila wanaohusika na uzembe huu wachukuliwe hatua stahiki!!
huyo waziri wenu wa mikopo inwezekana alikuja kula bata huku jijini DSM na pesa zenu nyie hamnyigundui tu,huyu angekuwa UDSM mbona tungemfurusha kwa uzembe wake wa kiboya,ila kwa sababu chuo chenu ni cha kata wajanja wanakula pesa zenuMpaka sasa kuna hali ya SINTOFAHAMU hapa MUCCoBS waziri wa mikopo alisema amekwenda bodi ya mikopo amerudi jana ila hamna tangazo lolote lililopo juu ya wanafunzi walionyimwa mkopo ,swali je huyu waziri kaenda bodi ya mikopo kufanya nini? mbona hatupi taarifa ya yaliyojiri huko bodi ya mikopo.
huyo waziri wenu wa mikopo inwezekana alikuja kula bata huku jijini DSM na pesa zenu nyie hamnyigundui tu,huyu angekuwa UDSM mbona tungemfurusha kwa uzembe wake wa kiboya,ila kwa sababu chuo chenu ni cha kata wajanja wanakula pesa zenu
Ngoja tufuatilie ili tujue alienda kufanya nini huko HESLB...
mkuu ntakusaidia kazi,naona jamaa anazingua,nimefuatilia kwa kumpigia simu hajapokea,sijui shida iko wapi!!