#COVID19 MUCE yawataka Wanafunzi na Wafanyakazi kuchukua tahadhari za Ugonjwa wa COVID-19

#COVID19 MUCE yawataka Wanafunzi na Wafanyakazi kuchukua tahadhari za Ugonjwa wa COVID-19

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Kutokana na mlipuko wa tatu wa Ugonjwa wa COVID19 kuripotiwa Mataifa Jirani, Chuo Kikuu Kishirikishi cha Elimu Mkwawa (MUCE) kimewataka Wanafunzi na Wafanyakazi wake kuchukua tahadhari

Chuo hicho kimetoa rai ya uvaaji barakoa, unawaji mikono kwa maji tiririka, matumizi ya vitakasa mikono na kuepuka misongamano ambayo haina ulazima
 
Back
Top Bottom